Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nitaanza kutupia in play za uhakika
Siku zijazo

Barcelona corner over 6.5
Odds nzuri 1.55
 
kaongee na meneja yeyote wa benki au hata gavana wa bank kuu akupe mamilioni ya kigogo yaliyo wekwa fixed account tutamrudishia baada ya tarehe 26 na 29 kwa sababu ni uhakika.
 

Attachments

  • IMG_20180923_231305_963.JPG
    26.3 KB · Views: 30
Ule mkeka wa kuuza 2000 vipi umeusell au
Mkuu sijausell bado nakomaa nao halafu mrusi alivyo pimbi eti bado kakomaa na 2000 yake sijui kaishainunua hiyo mechi ya kesho!! maana Net Sotra nimempa 1X ya first half.Potelea mbali km akipigwa basi but Juve amenikosha sana maana nilikuwa nimeshika simu livescore ya mrusi naangalia dk 93bado dk 2 za added time nikaona issue ishakuwa nyau nikaweka cm pembeni ile nataka nipost huku nakuta score board 0-2 basi nilipiga kelele mpaka nikasikia waliolala wanaitika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi leo kanjibai kaninyoosha Mara mbili, mama La mama yake!!
 
Wakuu samahani hivi voda wanakata shilingi ngapi kudeposit pesa ndogo kama1800 hivi kwenye 1x bet? Msaada tafadhali?
 
Hiyo mechi kesho mida gani kwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…