Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii option ikoje, anayeilewa hebu anifafanulie. Ili upate loss unatakiwa upateje? Au hakuna kuloss?
 
waone kuna watu kama 70 hivi wamebet correct score kutoka nchi moja? lazima washtukie mchezo
Yale yale ya mtihani. Pale unapokuta mpaka vilaza wamefaulu mtihani wa hesabu. Pamoja na kuwa kama mwalimu utakosa ushahidi WA kuwatia hatiani, lakini lazima utajua umechezewa mchezo mchafu. Kama mdau alivyosema hapo nyuma kuwa jamaa kwenye t&c wameshasema wakihisi udanganyifu, betslip zinakwenda na maji bila maelezo.
Mi nashauri siku moja tuchange mchango, then tununue mechi NA tunakuwa NA matokeo mfukoni mfano Majimaji 2-1 Yanga. Hapo kila mtu atajilipua anavyojua yeye.
Utakuta option zinazotoa ni 2.5 over, 1, 1.5 over, 3.5 under, both team to score YES, Away team win to NIL-NO nk. Sasa siku hiyo wabetiji mnaambizana kabisa kuwa msibet kwa option moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…