Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna timu hapa ya wadada faroe wpmen u19 alipewa odd 70 nikamfikiria sana ila nikaona ngoja nijaribh nikaweka DC ya 1st half sijui huko ngap ngap auwashatungwa
 
Wadau naombeni msaada, nimefanya withdrawal juzi Jioni ktk 1xbet chaajabu hela yangu sijaipata mpaka sasa... Nimejaribu kuwasiliana na info-en@1xbet.com majibu yao nisubiri hadi siku 3 pengine nitaipata... Namba nilotumia sijakosea kabisa, na nimefanya withdrawals zingine baada ya hyo iliyopotelea juu kwa juu na pesa zinafika vzuri tu...
Kwa yyte anayejua kuhusu hili anisaidie
 
mpka sasa dk ya 33 ninapo amdika ubao unasomeka 1-0
 
Hahahahhahahhaahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…