Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nawaliza Sportpesa mdogo mdogo naamini nkicheza hata Jackpot yao ntawapiga tuu leo..hahaha
Correct scores

 
Xbet awaaminiki wana meza pesa zawatu na hakuna msaada watu watakuja Ku prove ikiwatokea tena unakuta ni ela ndefu unatoa
 
Wakuu kwenye acount yangu ya 1xbet sehem ya pesa pale pemben kuna kitu kimeandikwa unreleased bets 21900,..sjaelewa

Msaada plz
Hiyo Hela, ni Hela ambayo umebetia.Ni hela ambayo umebetia na Mkeka/mikeka bado unaisubiria.
 
Xbet awaaminiki wana meza pesa zawatu na hakuna msaada watu watakuja Ku prove ikiwatokea tena unakuta ni ela ndefu unatoa
Mbona mimu natumia 1xbet ni mwaka na zaidi sijawahi kupata hizo changamoto!

Kikubwa wakuu zingatieni vigezo na masharti jamani. Huwezi kuweka hela tu alafu ukataka kuitoa bila kubet.

Pia hakikisha katika kufanya miamala yako unakuwa makini step by step.

Huwa najiuliza kwanini wengine mnapata changoto mimi sipati na kila siku nafanya miamala ya kuweka na kutoa.
 
Mambo vipi wadau...

Poleni sana na kazi...

CHUKUA HII
HII NI NZURI KWA WAUMINI WA ODD YA 1.40, 1.50, 1.60... RANGE HIYO

IKO HIVI... NI TENIS ONLINE/INPLAY

Kwenye tenis

Game ikiwa set 1 na score ikawa 1:1, 2:1, basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 7(over 7.5)

Na pia set ikiwa na goli 2:2, 2:3 basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 8(over8.5)...

Hivyo kama utachukua game mbili hadi tatu bila ya kuwa na tamaa ya odd na ukiongeza umakini basi unapata aidha odd ya 1.40, 1.50, 1.60, sometimes hata odd ya 2.

Muhimu kuwa na app itakayokupa update za game kadri inavyoendelea (sofascore ni nzuri sana kwa update na mpangilio wake wa matokeo)

Muhimu pia kuwa betting site yenye game nyingi za inplay na yenye option ambazo hazitokubana...

NB: KUTAFUTA PESA HAKUJAWAHI KUWA KURAHISI KAMA KUMEZA TONGE LA UGALI NA MRENDA MGUNDA AU MWIDU...
 

Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…