kwa maelezo ya mdau pale juu nimegundua kuna pesa uliweka (ambayo umesema ni laki) ulibeti lakini hukubetia yote ila ulipowin unataka utoe zote ndio maana umepigwa pin cha kufanya nenda hata inplay tafuta timu yenye uhakika weka mzigo subiri matikeo kisha uvute mpunga wakoMara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya last deposit yangu?
Mkuu sikutumia bonus kwenye kubet, nilideposit laki moja Jana na ndio hiyo nilitumia kwa siku Mzima na kuna masaza yalikuwemo kwenye account yangu kidogo tu kama 30k.
Hii kampuni nayo inazingua kiaina na hivi hakuna hata wa kuwasiliana nae ili aniambie nimekosea wapi? Ukiwatumia SMS hawajibu.
Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.Mara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya initial deposit yangu?
kwa maelezo ya mdau pale juu nimegundua kuna pesa uliweka (ambayo umesema ni laki) ulibeti lakini hukubetia yote ila ulipowin unataka utoe zote ndio maana umepigwa pin cha kufanya nenda hata inplay tafuta timu yenye uhakika weka mzigo subiri matikeo kisha uvute mpunga wako
Si ninaweza kubet single bet yenye odds ya 1.1 kwa 100k ili kuactivate withdrawal possibility? Au hadi nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1? Wanakera lakini hawa jamaa?Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.
Jana nilitumia advance bet walinikopesha 32000 na mkeka ukatiki nilibet single bet won kwa kiasi cha sh 263300 lakini matokeo yake hakuna nilichoambulia nikawasiliana nao wakanimbia kwa mujibu wa sheria za advance bet hiyo ticket yangu imekuwa void kwa sababu mkeka wangu wa mwisho kabla ya kutumia advance yao nililost wakanirudishia stake yangu 50000
Nishawasiliana nao lakini wako kimya hawajibu!Click pale juu kwenye profile, nenda customer service hlf anza kuchat nao kuulizia tatizo ni nini?
Maana hilo tatizo lako ni km umedeposit amount kiasi fulani hlf unataka kuwithdraw bila kubet kabisa.
Sasa kwa kesi yako inaonekana umeshabet.
Hii pia inaweza kuwa imechangiwa na kipigo jana.
Mimi ndiyo maana huwa natoa hela kadri inavyoingia
Mkuu, inaonesha we ni mgenibkabisa kwenye hii industry.. So hyo kitu achananayo.. Wengi ni tapeli tuWana JF msaada mnifafanulie kihusu VIP tips maana mm wga sielewagi
Wanaseria kavu hao kwenye masuala ya pesa we weka hata game moja as long as odd imezidi 1.1 na kiasi tia kilo sikilizia halafu withdrawSi ninaweza kubet single bet yenye odds ya 1.1 kwa 100k ili kuactivate withdrawal possibility? Au hadi nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1? Wanakera lakini hawa jamaa?
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.Wanaseria kavu hao kwenye masuala ya pesa we weka hata game moja as long as odd imezidi 1.1 na kiasi tia kilo sikilizia halafu withdraw
Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.
Jana nilitumia advance bet walinikopesha 32000 na mkeka ukatiki nilibet single bet won kwa kiasi cha sh 263300 lakini matokeo yake hakuna nilichoambulia nikawasiliana nao wakanimbia kwa mujibu wa sheria za advance bet hiyo ticket yangu imekuwa void kwa sababu mkeka wangu wa mwisho kabla ya kutumia advance yao nililost wakanirudishia stake yangu 50000
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.
Nishawasiliana nao lakini wako kimya hawajibu!
Sasa hivi nimejifunza nitakuwa sisubiri mtaji ukue ndio nitoe.. Kila nikimtandika natoa fasta.
Mkuu nilikuwa na 50000 nikaongeza na advance bet 32000 ikawa jumla ya stake 82000 nikaplace bet na bet ika win 260na upuuzi kidogo sasa kuna mkeka kabla ya kuuweka huo wa advance bet yule bwege Atalanta kauchana ndio ikawa sababu ya advance bet ticket kuwa void hivyo wakanirudishia 50000 yangu. Umenielewa hapo mkuu??Hii mbona kama wamekuibia.... Ina maanisha stake waliyokurudishia ni ya mkeka wa mwisho kabla ya kuweka Advance bet?
Maana Advance bet malipo yake huwa yanatokea kwenye mikeka ya nyuma masaa 48 kabla ya advance bet kuwekwa kwahiyo ikitokea umeshinda bet au umesell bet au umekuwa refunded basi hutumika kulipia ile stake uliyokopeshwa kwaajili ya advance bet.
Mimi huwa naweka advance bet ikitokea nimekula basi nauzaga mikeka ya nyuma kwa hasara ndogo ili wanilipe win yangu ya advance bet hlf nabet upya mikeka yangu ya nyuma
Mkuu nilikuwa na 50000 nikaongeza na advance bet 32000 ikawa jumla ya stake 82000 nikaplace bet na bet ika win 260na upuuzi kidogo sasa kuna mkeka kabla ya kuuweka huo wa advance bet yule bwege Atalanta kauchana ndio ikawa sababu ya advance bet ticket kuwa void hivyo wakanirudishia 50000 yangu. Umenielewa hapo mkuu??
Fumba macho kama vipi sikilizia mpaka night naona kuanzia mida ya saa mbili zinaeleweka kama kule norway over 1.5 za kufikia tu na argentina kunatoa sana under 3.5 ila hizi za argentina kwa under ni bora u heze inplayNgoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.