Ile Atalanta ni mbuzi kabisa sikubet usiku kwa sababu yake maana nilikuwa nishatega mabomu kwa kutumia winning ya advance bet ticket. 50 inebaki najipanga hapa za kuanzia saa mojaYes hapa nimekupata, na walikuwa sahihi.... Dah binafsi nilishachinjiwaga baharini ushindi wa laki na usheee.... Hua roho inauma sana
Kweli ngoja niwavumilie sababu juzi kuna mtu kawapiga kama billion 2 za jackpot.. Sasa labda bado wana wenge la kipigo.Vumilia kidogo hangover ya vipigo ipite.
Kingine log out, hlf log in tena ujaribu upya mchakato kwa amount ndogo ndogo like elfu 50, then 40, 30 nk.... Mind you usiweke amount za kufanana maana nazo zikibuma ni shida kwenye kuzidai
Mkuu, mbona huweki tipsNimetoka kutoa 480k 1xbet haijachukua hata dakika 10
Mkuu, this is what happen Ulikuwa na likely 30k, Ukadeposit 100k, Sasa je mkeka wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani? Kama it was less than 30K na ukawin ina maana kwamba 100k uliyodeposit haijafanya kazi kwa mrusi,Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.
Huko wanachezaje mkuu, over na under amaKwenye ice hockey mtaji unakua haraka sana. Huku kuna nafuu maana unaweza ku-submit mkeka halafu ukaagiza bia ukaanza kunyonya taratibu ukisubiri mkeka usome....
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
NAOMBENI NAMBA YA MAWASILIANO KWA M- LIPA NIMEWEKA SALIO KARIBIA LISAA BADO HAISOMI JAMANI,,KWA MWENYE MAWASILIANO YAO NAOMBENI
Wadau naombeni namba ya huduma kwa wateja ya M LIPA, nimeweka hela tangu Jana mpk Sasa siioni
Ila haipokelewi cjui kwaninNAOMBENI NAMBA YA MAWASILIANO KWA M- LIPA NIMEWEKA SALIO KARIBIA LISAA BADO HAISOMI JAMANI,,KWA MWENYE MAWASILIANO YAO NAOMBENI
Hola bila bila hata kwangu nimeamua kuongeza mtaji uliopo kwa acc mpaka sasa account haijaongezekNAOMBENI NAMBA YA MAWASILIANO KWA M- LIPA NIMEWEKA SALIO KARIBIA LISAA BADO HAISOMI JAMANI,,KWA MWENYE MAWASILIANO YAO NAOMBENI
Kama hawapokei ufumbuzi utapatikaje, basi ni kampuni ya kipuuzi sanaAisee hawapokei maanina zao!
Nielekeze namna ya kubet huoKwenye ice hockey mtaji unakua haraka sana. Huku kuna nafuu maana unaweza ku-submit mkeka halafu ukaagiza bia ukaanza kunyonya taratibu ukisubiri mkeka usome....
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Bado sijaipata mdauKama wewe umepata nao mba unitumie nami
Inaonyesha umedipost halafu unataka kutoa bila kucheza ndo maana anakwambia salio la mwisho kuweka lazima Uber hata odd ndogo km 1.1Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692