Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada namna ya kudeposite pesa 1xbet kwa m_pesa
Nenda kwenye top up account >>chagua vodacom>>ingiza kiasi>>ingiza namba ya simu >>ok

Baada ya hapo Subiri hadi wakutumie meseji jinsi ya kuweka pesa

N:b kiasi utakachoandika hapo ndio utakachotuma usizidishe wala usipunguze

Kazi njema
 
Mkuu nimefanya hivyo but sijatumiwa meseji nikarudia tena na matokeo ni yale yale
 
Nenda kwenye top up account >>chagua vodacom>>ingiza kiasi>>ingiza namba ya simu >>ok

Baada ya hapo Subiri hadi wakutumie meseji jinsi ya kuweka pesa

N:b kiasi utakachoandika hapo ndio utakachotuma usizidishe wala usipunguze

Kazi njema
Je,naweza deposite bila ya kupata hiyo meseji na kama ndiyo je,ni vip?
 
Hivi kweli ina maana hapa Tanzania hakuna mganga anayeweza kunipa dawa ili nibet vizuri? Mbn watu wengine wanaenda kwaajili ya biashara zao na wanatoboa!!😢😢 kadri zinavyozid kwenda hali inakua tete. Nataka yani niweze chagua fresh na mkeka ni WON tu, kuliwa iwe ni bahata mbaya. Nataka hiyo pete ya bahat ya kubet😢😢😢 naumia sana wadau na sitaki kuiacha kwakweli
 
Nitafute
 
[emoji23] [emoji2] [emoji2] imebidi nicheke tu
 
Tatizo waganga wenyewe wa dar ni matapeli sana sidhani kama wataweza,na hata ukimpata labda usimlipe hadi uone matokeo
 
Hahahaha mganga tena
 
Sasa mkuu we hukufata masharti gani hadi pesa yote igome kuwithdraw kwa pamoja??? Au ilikua pesa ya bonus account?? Please clarify coz most of us have been left stranded on this. Ikizingatia umesema wamekuhurumia tu, hukubetia kitu chochote
 
Nilichogundua niliweka laki moja na nikabetia elfu 65 pekee hivyo kulikuwa na 35 elfu ambayo ilikuwa haijabetiwa sasa Mimi nikafanya kosa la kukiuka vigezo na mashari kwa kutaka kutoa zote hadi 35 ambayo sijaibetia kitu ambacho ni kinyume na taratibu zao ndio sababu wakablock transaction. But nilipotoa kwa awamu mzigo umekubali na nimebakiza 35 elfu pekee mabayo ndio natakiwa kubetia kwa odds kuanzia 1.1 ili iwe na eligibility ya kutolewa bila shida.
1xbet wako vizuri na hatuna haja ya kuwa na Mashaka nao bali tunapaswa kujua terms and conditions zao tu ili tuendane nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…