atletco madrd pga hyo ubariki mkeka wangu wa 250k loh
wakuu hvi hakuna mchawi mwenye kuweza kutabiri mikeka unajua timu inashinda kabla ya kucheza??
Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!
kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!
Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily
Wote wangekua matajiri kaka,, kazi kutuchafulia jiji na mabango yao.
niliwahi kusikia kuna hesabu za kutabiri, inabidi ujue wanacheza saa ngapi, pia idadi majina ya timu zinazocheza na uwanja wanaocheza sijui unagawanya kwa ngapi,Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!
kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!
Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily
Na mbwembwe za kumwaga...Wote wangekua matajiri kaka,, kazi kutuchafulia jiji na mabango yao.
ndio maana NGULI alisema hakuna uchawi, kama upo basi na wa-bet mpira na wawe mamilionea wamfilisi muhindi!Na mbwembwe za kumwaga...
Wajinga ndio waliwao.
asante kaka ebu ngoja nijaribu hii theory ya mzee wetu apumzike kwa amani,
Fuata huo ushauri wa hiyo video utafanikiwa.mkuu MziziMkavu kwenye formula hajasema itakuwaje unapata namba zote hazigawanyiki bada ya kujumlisha tarehe wanayocheza, je ndio yoyote timu inaweza shinda au ndio droo???
atletco madrd pga hyo ubariki mkeka wangu wa 250k loh
viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww
viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww