Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wiki hii ilikuwa mabya kwa mikeka yangu, dadake zao mani shiti na everton, mkeka wangu wa kupata milioni walinichania
 
wakuu hvi hakuna mchawi mwenye kuweza kutabiri mikeka unajua timu inashinda kabla ya kucheza??
 
Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!

kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!

Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily
 
Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!

kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!

Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily

Sidhani kaka, sio kwa timu zinavyokubali na kupotea bila pattern yoyote.
 
Wote wangekua matajiri kaka,, kazi kutuchafulia jiji na mabango yao.

Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!

kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!

Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily
niliwahi kusikia kuna hesabu za kutabiri, inabidi ujue wanacheza saa ngapi, pia idadi majina ya timu zinazocheza na uwanja wanaocheza sijui unagawanya kwa ngapi,

cc Pasco NGULI MziziMkavu FaizaFoxy mshana jr Kiranga lusungo
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1397855924715.jpg
    1397855924715.jpg
    101.5 KB · Views: 81
Wajinga ndio waliwao.

kweli wajinga ndio waliwao, lakini huwezi amini kuna siku nimekula 1.6miln just kwa elfu5 tu, teh teh teh

1st principle only play gamble only and only with spair money, sio ile pesa ya kulipa kodi au ya kulipia mtoto ada
 
asante kaka ebu ngoja nijaribu hii theory ya mzee wetu apumzike kwa amani,

je, mzizimkavu na ile ya kujua kitu kitachotokea kwa kutumia formula ya hesabu na tabia ya namba, na yenyewe unajumlisha vitu viwili sijui unagawa na muda au tarehe, :A S 39:
 
Last edited by a moderator:
mkuu MziziMkavu kwenye formula hajasema itakuwaje unapata namba zote hazigawanyiki bada ya kujumlisha tarehe wanayocheza, je ndio yoyote timu inaweza shinda au ndio droo???
 
Last edited by a moderator:
atletco madrd pga hyo ubariki mkeka wangu wa 250k loh

viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww
 
Back
Top Bottom