Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliangalia livescore first half tu nikaona kila game ina goli moja nikaumia kishenz
 
Huu uongo wako mbona mtakatifu sana Mkuu???

Umedeposit hela=Ina maana salio kwa akaunti yako liliongezeka.

Umebeti=Ina maana bet ilikuwa accepted na ilikuwepo kwa bet history au sio.

Haya mkeka umekula halafu wamekwambia hela haikufika D;D;DD

Mh inahitaji kidogo kupiga kiroba ili kuielewa hii incidence yako.
mwe
nimediposit hela nimebet lkn wanasema hela haijafika na bet nilikula kabisa
 
[10/10, 12:59 AM] KING CHUCKS: *Booking Number: Z6VTMZM8*

09/10/201812:05:15

1569 Denmark - Netherlands

1X22β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 17:00

Prematch

Stake ₦ 4,500.00

*2.02odds*β‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°
[10/10, 1:01 AM] KING CHUCKS: *Booking Number: Z6VTMV5B*

09/10/201812:06:38

1111 Shrewsbury Town - Tranmere

Chance Mix O/U 1 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:00

Prematch

1113 Sunderland - Carlisle Utd

Chance Mix O/U 1 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:45

Prematch

2184 Mansfield Town - Wolverhampton Wanderers

Chance Mix O/U 1 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:45

Prematch

2185 Scunthorpe Utd - Lincoln City

Chance Mix O/U 2 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:45

Prematch

2186 Crawley Town - Portsmouth

Chance Mix O/U 2 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:45

Prematch

2176 Cambridge Utd - Southampton FC U21

Chance Mix O/U 1 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:00

Prematch

1804 Notts County - Newcastle United U21

Chance Mix O/U 1 or 1.5Ovβ‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°

09 October 2018 19:45

Prematch

Stake ₦ 7,500.00

*2.02odds*β‡β‡β‡β‡πŸ”°πŸ”°
 
Boss huwa unabetia options gani kwenye hii michezo? Maana kuna mdau humu aliulza hukujibu, naomba basi majibu na kwa niaba ya wengine pia.
Ice hockey Mara nying huwa nacheza both teams will score na over/under kulingana na game ilivyoanza. Pia volleyball nacheza na set inapoanza , naangalia imeanzaje, so nacheza over/ under kulingana na mchezo ulivyo
 
Wengi wanaochemka kutumia 1xbet huwa wamezoea kampuni za kiloko ambazo kudeposit unasokomeza tu.
Sasa huku lazima ufuate process zote. Sasa MTU analalamika eti wamemwibia hela! Mbona haiingii akilini! Aweke betslip hapa ili na wengine waione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…