Hiyo mechi ya SAA 11 bet woooooooon .....nilifuata thanks pdidy ......
THX BRDA MASHALLAH WEEKEND INAENDA SAWIA KABISAAHiyo mechi ya SAA 11 bet woooooooon .....nilifuata thanks pdidy ......
Ndio ndioTHX BRDA MASHALLAH WEEKEND INAENDA SAWIA KABISAA
Nikweli mkuu, mfano ni mmoja kuna member aliandika hapa malalamiko kibao kwamba 1xbet wamefuta mkeka wake harafu na pesa iliyokuwa kwenye account wamechukua, nikamuuliza swali moja "Je, umejaribu kulog out then ukalog in, ID namba ni ile ile au inabadilika kila ukilog out/in,?"
Alinijibu "ngoja nijaribu kulog out nione nitakwambia"
IKAWA KIMYA HADI LEO!
Sawa hata mm mkuu nimefata hii dah [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hiyo mechi ya SAA 11 bet woooooooon .....nilifuata thanks pdidy ......
ww pimbi baba na mama yako mzaz **** chakavu ww
Ndugu, kuielekeza akili ndogo, ni shida... Inaelewa taratibu sana, achana na akili ndogo itaelewa baadae
Please kwa heshima yangu nakuomba acha kubishana nae Uzi usije kufungwa tuna vingi vya kupata hapaSawa mkuu.Mapambano yasonge mbele tu.
Of course nimeshamaliza mama usijali tuendelee na kazi tu,Nataka niingie ofisini nisake japo odds 3 nitupie humu kama ZawadiPlease kwa heshima yangu nakuomba acha kubishana nae Uzi usije kufungwa tuna vingi vya kupata hapa
Safi sana lete vituOf course nimeshamaliza mama usijali tuendelee na kazi tu,Nataka niingie ofisini nisake japo odds 3 nitupie humu kama Zawadi
Nitakutag ikiwa tayari.Safi sana lete vitu
Nakuheshim na istoshe yamekwisha kua na amania
acha kujidai mtetez na ww mtu analeta shombo
PoaaaNitakutag ikiwa tayari.
Ah wanazingua kinyama yaani mtu anakuja na complain ambayo yy mwenyewe anashindwa kielezea halafu anaanza madongo ooh sijui 1xbet wahuni,mara sijui wezi n.k kwann wamuibie yy tu na utakuta kwenye account ana 12K eti wamemuibia wkt kuna watu account sina hadi M+ na hawaibiwi.
Mi nawaona waungwana wale wanaosema kuwa dah mi nataka kuachana na 1xbet sababu upepo kidogo umeyumba nachezea vichapo zaidi ngoja nijaribu kampuni nyingine na sio hawa wanaokuja na sizitaki mbichi hizi kwa kusingizia kuwa wanamuibia wakati kumbe yy mwenyewe kuna vitu anakosea na daily maelekezo yanatolewa humu.
Huyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.0758460813 wasiliana na huyu jamaa wa m lipa akueleze kuhusu matatizo ya 1xbet saver zao zpo chin hawa confirm transaction kwa wakati unaleta hoja za kipmb ndo nyie mnadhan kuunganisha watu 1xbet ni kaz kwasababu kuna faida mnaona watu wakitoa malalamiko wanawaharibia taarifa yako simu nying sasa wanapigiwa m lipa ni kuhusu 1xbet
mwe
nimediposit hela nimebet lkn wanasema hela haijafika na bet nilikula kabisa
inashangaza kuna akina void dejav na wengine wana kula na kuwithdroo ninyi mnasema 1xbet wezi! tatzo litakuwa kwenuAhaa duh pole mkuu awa wezi wana ela zamgu ad Leo awanipi
Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaadaHuyo unaedai apigiwe sim, ndie mkwapuaji wa pesa zenu ninyi msiojua ABC kuhusu 1xBet, yaani namaanisha ukijichanganya kidogo tu huyo jamaa pesa yako anaidaka na usipoifutalia kwa kina ndio kwaheri hiyo.