Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ulitumia kampuni gani? Nimegundua sio 1xbet, ni watu wa mitandao. Mimi tigo wananiambia pesa inaonekana na watairudisha ndani ya saa 24 mpaka leo, nikiwapigia wananipa stori hizo hizo
Mi mwenyewe nilishawahi deposit 15K zamani kidogo hela haikufika 1xbet na baada ya kuwasiliana na M-LIPA wakaniambia kuwa hela iko pending kwa Tigo kwao haijafika so akawaambia Tigo wairudishe kwa account yangu then nikaanza kuwafuatilia Tigo na ilikuwa ijumaa but walichoniambia kuwa nisubiri hadi J3 ndipo nilipoipata hiyo hela,Sasa kwa picha km hii nitaanzaje kuwaita 1XBET wezi au wahuni???

Tunashindwa kuelewa tu kuwa 1XBET km kampuni ya kimataifa wamefanya ubunifu tu wa kutusogezea na kurahisisha huduma ya MALIPO ili tuweze kuifanya kazi hii kwa kuingia mkata na M-LIPA otherwise ingetubidi tuwe tunafanya miamala kwa kutumia mifumo ya kimataifa km MasterCard,Paypal n.k sasa huko tungefikaje wenzangu na mm ambao Tigo na M-LIPA wanatutoa jasho????.

Wachawi tunawajua na tuna uwezo wa kuwafikia but matope tunawapaka wengine ambao hata hatujui tutawafikiaje.Kweli huu ujenzi wa viwanda bila kujua tutapata wapi malighafi tutaishia kufugia mbuzi tu magodown.
 
Shida sio 1xbet, shida ni hawa watoa huduma, mi tigo wanasema pesa yangu iko hewani ila ni zaidi ya wiki 3 daily wansema ndani ya masaa 24
 
Shida sio 1xbet, shida ni hawa watoa huduma, mi tigo wanasema pesa yangu iko hewani ila ni zaidi ya wiki 3 daily wansema ndani ya masaa 24
Komaa nao tu watairudisha na unapoongea nao kaza sauti,tena na mikwara juu,we muulize tu Jina vizuri uliyeongea nae wakati ukiwa unamaliza mazungumzo halafu unamwambia nimelinakiri jina lako pembeni so sitegemei kupiga tena kuulizia kuhusu shida hii moja tu.
 
Shida zote za nini aachane nao aje bikosports free deposit hukatwi hata senti na hawana mboyoyo usaidizi mara moja
 
πŸ™SANTA RITA X FT

πŸ™GUARACEO X HT

ECUADOR🀫

πŸ˜‰LETS DO THIS πŸ˜‰
 
*x253p*

_2.77 odds_

Portugal U17 - Kazakhstan U17
Total: Total Over (3.5)
1.44 βœ…βœ…βœ…
Netherlands U19 - Faroe Islands U19
Total: Total Over (3.5)
1.2 βœ…βœ…βœ…
Belarus U19 - Switzerland U19
1X2: W Switzerland U19
1.36 βœ…βœ…βœ…
Al Jazira - Al Ain
Total: Total Over (1.5)
1.105 βœ…βœ…βœ…

~kings aren't just born, they are made~

*mr opulence*

πŸ§πŸ€πŸƒβ€β™‚πŸ’―πŸ’°πŸ€Έβ€β™€πŸ’‹πŸ’ƒπŸΎπŸ‘†πŸ‘
 
TWO FIXED MATCHES❀❀
Time : 21:30Hours
League: ITALY: Coppa Italia Serie C -
Match: Alessandria - Albissola
Tip : CS 0-0 HT

Time: 23:00Hours
League: ARGENTINA: Torneo Federal A
Match: San Martin Formosa - Boca Unido
TIP: CS 0-0 HT

TOTAL ODD: 7.32
Safety: 100%√

Maximum Bet
Good Luck all fans


Single pliz....
 
Czech Republic
Karvina vs Mas Taborsko
Home winβœ…βœ…βœ…βœ…

England
Taunton vs St. Albans
Total over 2.5 goalsβœ…βœ…βœ…βœ…

England
Chippenham Town vs Hendon
Total over 1.5 goalsβœ…βœ…βœ…βœ…

Total odds
2.26 odds

Boom πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Hivi Taunton na st Albans wametokaje ....naona hawaniwekei matokeo na bado wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…