Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habar za saa hz wadau
1xbet aisee ni bonge moja la kampun
Toka niijue nimeachana za kibongo maana kula hela huku ni rahisi sana kula kampun zingine kutokana na kumpa mteja option nyingi za kubet
Sasa mm nauliza kuna ambaye ana deposit na kuwithdraw kupitia visa master card
Je ukitumia master card hakuna usumbufu wowote
Na bank gani ambayo ndo itafaa zaid
Maana nataka niachane na Mlipa
Naomba msaada wa maelezo
 
Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
Mkuu hapo vumilia tu ni tatizo la kimtandao mm iliwahi kunitokea haohao TIGO pesa ilikaa mwez mzima ndo ikarudi tena kimyakimya mpaka nlisahau kuna siku kuchek salio ndo nkaiona lakn pesa nyiyotumia (ada) haikurudishwa... Shida ipo TIGO japo sina hakika sana ila mm waliniambia ni mtandao unasumbua
 
Nakuhakikishia pesa haipotelei 1zbet Bali inapotelea M.lipa. mfano ukifanya withdraw request pesa ikawa proved toka 1xbet, hapo tayari case inakua imebaki m.lipa kukupa pesa yako. Ukifanya deposit request, ile sms ya beyonic ikachelewa , hii siyo ya 1xbet bali ni m.lipa, ebu fikiria ile sms ya beyonic ikigoma ukiwapigia wanarekerekebisha wanakwambia tuma tu pesa tayari tumeuona miamala wako, hapo unadhani anaepoteza pesa zako ni nani??. Situkeni wakuu. Kuna jamaangu aliwithdraw pesa ikawa haikufika ila ukicheki 1xbet pesa tayari iko proved nikawapigia m.lipa kupitia namba ile 022... Akapokea Dada flani nikamweleza akaniunganisha kwa mhusika, jamaa badala anitatulie tatzo, ananiuliza hii namba nimeipata wapi? Yaani hawataki namba yao ya ofisi tuijue! Ndiomaana wakikutumia pesa wanafatisha na namba zao binafsi ili uwe na imani kwamba ni namba ya ofisi kwamba hata siku moja ukipata tatzo kwenye miamala namba itakusaidia kumbe ni janja ile namba hata ukipiga hawapokei, ukiwaandikia sms kwa kulemba hujibiwi ng'oo! Na kama salio lako lilikuwa kubwa basi tayari halali yao hitopata tena bila kutumia plan b. So nawashauri tumieni namba hii kufuatilia sitahiki zenu M.lipa. na nawaombeni muondoeni dhana ya kwamba 1xbet wanawadhurumu miamala yenu. Pesa zenu zinateketelea hapo M.Lipa wazee stukeni! 022 270 1845
 
Hao m lipa ni wezi nimedeposit pesa juma pili usiku mpaka sasa naongea haijaingia 1xbet na Voda kwao imetoka ....na sijaifatilia hiyo app nimeachana nayo nipo zangu princess na sportpesa na meridian
 
Wazee wa mizigo niajee.
naombeni experience zenu, ni kampun gan nzuri ya inje inafaa kujisajiri kwa kubet, nataka kujua hasa mambo kama
uhakika wa kuwithdraw upoje, ndani ya masaa mangapi pesa imeingia kwa account
Bank gani hapa inchin ni nzuri kwa michakato hiyo ya account za $
Ili kujoin vitu gan hasa vya kuzingatia kuepusha usumbufu wa kudepost na kuwithdraw
Wakuu mm naamin katika game chini ya tatu, mzigo mkubwa, naamin katika kuweka mzigo mkubwa return kidogo, inapunguza risk ya kupigwa, siamini katika jamvi la jero kutafuta laki 5.
 
KWELI MKUU WATU TUKILALAMIKA PESA ZETU ZINAPOTEA KUNA MICHIZI INAANZA SEMA AMJASOMA RULES NGOJA IWAKUTE
 
Unachokisema ni sahihi mkuu watu wanashindwa tu kuelewa mlipa ndo tatizo mimi walijaribu kufanya uhuni wao kama huo nikawaambia sasa nawafuata hadi ofisini kwenu mkwara ulisaidia siku hizi salio hata likichelewa kuingia kidgo nikipiga fasta wanasawazisha wakati hata ofisi zao sifaham zilipo
 
Hawa 1xbet hawana option nyingine zaid ya M-Lipa? Maana inaonekana hapa hawa M-Lipa ndio wanawachafua 1xbet kwa utapeli wao na watu kiukwel hawawaelewi hao M-Lipa kinachoeleweka hapo 1xbet.
 
Me nilijichanganya na mastercard ya mpesa mpaka leo ela sijaweza kuitumia na kwenye mastercard aipo....voda wananiambiaga tu tatizo linashughulikiwa ila mpaka leo sioni chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…