Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*💯Daniel💯predicted draw*

International Friendly Games

United Arab Emirates - Honduras

X

3.02


*Z6VJWY97*
 
Tahadhari kwa wanaotumia 1x bet naona system yao ya kudeposit imeyumba kwahyo kuweni wapole msikurupuke kuweka Hela sasa hv tutakuja kupeana lawama humu
 
Mm nimedeposit kupitia app naona hawajaleta ile text ya beyonic mishastukia chezo sifanyi muamala tgo pesa mama£
 
[10/11, 7:08 PM] Prince Charming GEM: International


Poland u19 vs Macedonia u19


Tip: 1FT✅✅✅✅✅✅and over 2.5✅✅✅✅✅✅

Egypt


Smouha club vs alominion Nag


Tip: 1FT✅✅✅✅✅✅✅✅

Slovakia


Partzian B vs spartak T


Tip: over 2.5✅✅✅✅✅✅✅✅✅
[10/11, 7:21 PM] Prince Charming GEM: EGYPT - EGYPT CUP



Smouha Club v Alominiom Nag Hammadi



TIP. FT1✅✅✅✅✅✅✅
♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️
TIME 16:00♻️♻️♻️♻️♻️♻️

INTERNATIONAL - U19 FRIENDLY GAMES



Croatia U19 v Turkey U19


TIP. GG✅✅✅✅✅✅✅✅
♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️
TIME 16:00✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

CZECH REPUBLIC - CUP



Vyskov v Viktoria Plzen



TIP. OV25✅✅✅✅✅✅✅
♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️♻️
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 17:00T
 
*GAME OF THE DAY*

Hong Kong-3.5u (int)✔✔
Argentina-1 (int)🙏🏿
France-1 (int)🙏🏿
Wales-1.5o (int)🙏🏿
Israel-HT 10x(int)🙏🏿
Spain u21-2&1.5o (int)🙏🏿
Congo-1&4.5u (int)✔✔
Smouha-1 (egypt)✔✔
El gaish-dnb (egypt)✔✔
Qiang Wang-win(tennis)✔✔
Elise Mertens-win (tennis)✔️✔️

Total odds
10.33
Soccabet:#53613540
Sportybet:GFAU9
1xbet:GSGGP
Bet9ja:
 
Wakuu hiyo gemu ya chini nilyocheza "under 2.5" matokeo yake ikoje?.... Maana livescore siioni afu kwenye live betting ya princessbet haipo! Mwanzoni iliandikwa kuanza saa kumi na moja na nusu jioni.
 
Jana nimeuliza ila sijapewa majib
Habar za saa hz wadau
1xbet aisee ni bonge moja la kampun
Toka niijue nimeachana za kibongo maana kula hela huku ni rahisi sana kula kampun zingine kutokana na kumpa mteja option nyingi za kubet
Sasa mm nauliza kuna ambaye ana deposit na kuwithdraw kupitia visa master card
Je ukitumia master card hakuna usumbufu wowote
Na bank gani ambayo ndo itafaa zaid
Maana nataka niachane na Mlipa
Naomba msaada wa maelezo
 

Hii ndiyo namba ambayo mimi naitumiaga kuwasiliana nao, na haijawahi kuwa namba ya siri.... Ipo tu ni namba yao ya ofisini.

Either way huwezi kuitenganisha 1xbet, Beyonic na M-Lipa..... Kwasababu huwezi kujihusisha na 1xbet kupitia hao... Hao ni mapacha wanategemeana.

Kimsingi binafsi ni nataka kupeleka haya malalamiko kuhusu M-Lipa kwa mamlaka husika ili hii tabia ya kupiga hela za watu ikome mara moja.
 
SPAIN AMATEUR - TERCERA DIVISION, GROUP 4



Sestao v SD Zamudio



TIP. FT1


TIME 21:00

INTERNATIONAL - UEFA NATIONS LEAGUE,


Poland v Portugal


TIP. FT2


TIME 21:45

INTERNATIONAL - UEFA NATIONS LEAGUE,


Lithuania v Romania


TIP. FT 2

TIME 21:45

INTERNATIONAL - UEFA NATIONS LEAGUE,



Kosovo v Malta


TIP. FT, 1

TIME 21:45
 
Benk yoyote yenye card za master au visa pia kuweka ni instant kwenye kutoa ni kati ya siku 1 hadi 5 za kazi mie mwanzo nilitumia benki ya Exim kadi yako iruhusiwe matumizi ya matandaoni tu
 
Mm nimedeposit kupitia app naona hawajaleta ile text ya beyonic mishastukia chezo sifanyi muamala tgo pesa mama£
Airtel money wana mfumo mzuri sana wa kudeposit hela kwenda 1xbet.. Wao muamala ukigoma wanarudisha hela papo hapo na kukwambia ujaribu tena.

Ukifuatilia wengi wanaolalamika humu ni Tigo na voda lakini Airtel haitokei kabisa kwa kuwa wameimarisha sana mfumo wao wa deposits and withdraw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…