Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
wotepiaaa MKUU BARIKIWAAsante sana mkuu pdidy... Mungu akujaalie afya na uwe ni mwenye kufanikiwa katika kila jambo la kheri! Akufanyie wepesi katika yale yote yaonekanayo magumu. Amen!
2/1 HIOOOwahiinplaykalehelaFrance
Tupo pamoja mkuuwotepiaaa MKUU BARIKIWA
Pamoja2/1 HIOOOwahiinplaykalehela
Hapana!!! maximum stake haibadiliki, labda unazungumzia payout. Hiyo ndio inabadilika k utokana na wingi wa ODD. Kwa maana nyingine kama ulikuwa unaongeza mtaji kidogokidogo bila kutoa na ukiwa na malengo ya kifika mbali. ukifika hapo lazima ukwame, labda ukitaka pay out iongezeke ni kuongeza idadi ya odd au timu ambayo ni risk, na malengo ya uwekezaji huo hayatatimia
Dah ameponyoka kweli kweliMrusi kakwepa K.O tehtehteh. View attachment 894992
Me nimemuekeza ila naona ananibishia imebid nikae kmyView attachment 895011 View attachment 895013
Mkuu, hii inabadirika kulinga na Odds na sometimes hata mechi yenyewe
Tumuombee apate ata goal moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 Hawa ufaransa Hawa
Imeondoka au?? Mi nina mawazo na lituania niliwapa over 2.5 aisee hata kuangalia matokeo naogopa66K[emoji22][emoji22][emoji22]
Kwanza wanaanzaje hivi wabongo hizi akili tumepata wapi jamaniHakika haingii akilini kununua odds