Me naomba afunge walau ka goli kamoja au mwenzie aongezeHuyu France anataka kuniletea uhuni mimi
Wananitibua me nasubiri goli la tatu kwenye hiyo mechiUfaransa possession 75% Shot on target 0
Hahah...kila anasubiria kwa namna yake...mm nasubiri apate goli moja iwe BTTSWananitibua me nasubiri goli la tatu kwenye hiyo mechi
Hahahahahaha naona hakuna matumainiHahah...kila anasubiria kwa namna yake...mm nasubiri apate goli moja iwe BTTS
KatoaImeondoka au?? Mi nina mawazo na lituania niliwapa over 2.5 aisee hata kuangalia matokeo naogopa
Hatariiii namshukuru Romania kanisevia mkeka wangu mmoja dakika isiyojulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 Hawa ufaransa Hawa
Iko kiwango kina badilika maana hata mkuu Osu juzi apo aliweka stake Mlima kwa odd ya 1.4View attachment 894946
Hawa nao nimeendelea kuwafanyia utafiti, na kugundua mapungufu yao. Nilianza na odd kidogo na kwa kiwango kidogo ninaendelea kikikuza pole pole kwa malengo, kama sintapigwa hapo mbeleni. Nimeshtuka kukuta wameweka kiwangi cha mwisho cha dau. HIVYO NIKIFIKA HAPO SIWEZI KWENDA MBELE INABIDI NIANZE UPYA TENA. KWA NINI WASIACHIE UWANJA HURU ILI WATU WAJIMWAGE WATAKAVYO? WANAWEKA MA LIMIT TENA?View attachment 894946
Ufaransaaaaaaaa safiiiiiiiiii kaokoa jahaziKatoa
Romania ananilaza unono mimiHatariiii namshukuru Romania kanisevia mkeka wangu mmoja dakika isiyojulikana
Yaani dakika ya tisini karudishiwa goli na kaongeza tena hatariiiiiiRomania ananila unono mimi
Kwa kweli waroma mungu awaweke miaka 800Ahsante Mungu kwa zawadi hii hakika jina lako ni kubwa sana Mungu baba. Leo nimepata domo kubwa sana hakika hupaswi kukata tamaa maana alichokifanya Romania ni unforgetableView attachment 895129View attachment 895130
Wazee mikeka imenusurika, ngoja tuone yajayo.....INTERNATIONAL - INT. FRIENDLY GAMES
Italy v Ukraine
Woooooon
TIP. FT GG✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 21:45
INTERNATIONAL - U19 EUROPEAN CHAMPIONSH
Netherlands U19 v Faroe Islands U19
TIP. OV25✅✅✅✅✅✅
TIME 21:00
EGYPT - EGYPT CUP
Misr Lel Makasa vs ABO Qair Semads
TIP. Pick 2 or 3 goals✅✅✅✅✅✅
TIME. 21:00
Sanaa mkuu wadumu miaka 800.kwa hsira nilitaka kulala mzungu wa nne na wifi yako ila waroma wamenipa nguvu naenda kuliamsha dudeeeeeeKwa kweli waroma mungu awaweke miaka 800
OyooooooooooooooooooooSanaa mkuu wadumu miaka 800.kwa hsira nilitaka kulala mzungu wa nne na wifi yako ila waroma wamenipa nguvu naenda kuliamsha dudeeeeee
Yeeeeeeees boss thanks a lotCONGRARULATIONS WALIOFWATAView attachment 895150View attachment 895151View attachment 895152View attachment 895153
Atletico Nacional under 2.5Natamani ningepata odd 2 nilale nazo