Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimerudi aisee nimekuta 1xbet Mturuki na mwenzie Scotland wamechoma nyumba vibaya vibaya ila stake zangu walau nimerudishia Premier sema ubaya wa hizi kampuni zetu za kisukuma yaani kulipwa bado na hapa 1xbet ndipo inapowaovertekia km kishada.
Pole jaman
 
Utabiil wenu wakuuu naomba munisaidie hiyi nikuze kamutj maaan kameish Japan vs panama 02:Greece vs Hungary 03:Belgium vs sweden 04 Croatia vs englnda utbili wenu jmni naitz nijitungue
 
hata huko hujafika kwenye hiyo stake unaanza kuona mapungufu? mbona kuna watu humu wana stake 1 000 000 na inakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…