Hata ukipiga possibility ya kuzipata pia ni mashaka mashaka bora kampuni ingekuwa hapa tzDuuuh aisee, hapo kuipiga ni mtihani sana. Mimi nimeshaijaribu zaidi ya Mara 6 nikaambulia zile gawio la team 8 hela kiduchu kweli kweli nikaacha.
Kuta kua na tatzo kwenye hiyo mitandao mimi nili deposit kwa tigo pesa mida ya saa7 na iliingia muda ule ulenataka kudeposit 1xbet naona options za mpesa, airtel na tigopesa hazipo
Naomba link ya hawa jamaa plzWakuu hao biskra na usm blida wapo nchi gani? View attachment 896782
Naweza kudeposit kwa kutumia namba ya tigo ya mtu mwingine kwenda kwa account yangu huku namba yangu iliyo registered ni ya voda?Kwny 1Xbet nimeona tatizo lipo voda kwny ku deposit uwa hela zina fail sana ila uwa napambana nao na wana rudisha so nacho fanya uwa na deposit thru tigo pesa changamoto niliopataga tigo pesa ni cku mmoja nili withdraw laki 4 ilichelewa sn kufika nilitumia means za Social Media na email za warusi ndani ya masaa matatu hela yng nilitumiwa
Ni nani hawaaa mana unakuta ni wabongo tuu au hata kama ni wa nje; bas ni scammers
Sina link yao mkuu ila screenshot nimeikuta tu mtandaoniNaomba link ya hawa jamaa plz
AlgeriaWakuu hao biskra na usm blida wapo nchi gani? View attachment 896782
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw2yhohEoIdTb53JQUeuMZp-&cshid=1539438407101Naomba link ya hawa jamaa plz
OK,princessbet naona hajawaweka sokoniAlgeria
Ndio ilimradi ile sms ije kwny cmu ya huyo mtu mwingineNaweza kudeposit kwa kutumia namba ya tigo ya mtu mwingine kwenda kwa account yangu huku namba yangu iliyo registered ni ya voda?
Zimerudi ila wao wame recomand utumie tigo na airtel naona washaona voda ina tatizonataka kudeposit 1xbet naona options za mpesa, airtel na tigopesa hazipo
then baada ya leoo malipo au mkuu vip sijaelewaaaAtakae fata afate Leo n freeView attachment 896859
Fata kwanzthen baada ya leoo malipo au mkuu vip sijaelewaaa
Kama nakuelewa mkuu, 1×bet nimeanza kuitumia wiki iliyopita ipo vizuri mno.Ila nimeona kwenye miamala kuna shida, nimetest ku withdraw inakuwa kasheshe. Sababu ya ugeni nikaona acha ninyamaze, kumbe hata wa kale mnapita humo?.Una baraka zetu haswa sie tulio huku mbali mikoani.Mkuu issac77 unataka kusema huyu jamaa mwenye namba 0758 460813 sio mfanyakazi wa MLIPA? Huyu atakua anajua hela zetu zilipo Manake ndio pekee anayeshughulikia Mihamala yetu.
Naomba uniambie ofisi zao zipo Mikocheni Ipi Niende..Tukishindwana nipitie Oysterbay Polisi tukamaliziane huko.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU JAMANI.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app