Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Timu moja huwezi shinda 250k kwa 500 labda kama kapewa odds 5000 kitu kisichowezekana
 
nimeua Dortmund!", nikampa juve, bayarn, napoli .......... kesh0 mhindi lazima anitoe pasaka.
 
Timu moja huwezi shinda 250k kwa 500 labda kama kapewa odds 5000 kitu kisichowezekana

viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww

inawezekana ameweka timu nyingi na zenye odds nzuri,

mfano ukiweka timu 10 na zenye odds ya 2, then 2^10 = 1024, hapo ukiweka 500 unapata 500K

na kama unavyosema lazima iwe odd 5000, hapo angepata 500*5000= 2500K (miln 2 na nusu)

na yeye kasema amepata 250K (laki 2 na nusu) sio 2500K

ni hesabu tu hapo
 
viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww
teh teh teh mkuu nitumie japo kabuku ten tusheherekee wote, sharing is caring teh teh teh
 
Timu moja huwezi shinda 250k kwa 500 labda kama kapewa odds 5000 kitu kisichowezekana

mwenzio napangaga mkeka mpk wa timu 12 na mwisho juz nimemkosa 3.6m kwa timu 12 kwa jero tu timu mbili tu ziliniangusha,
kwenye gg nawekaga timu 7 au 8 kwa pt3 za kpnd cha kwanza magoli mengi,one day yes ikitiki ntakuja hapahapa
 
Unaweza ukabet online meridian kupitia visa na mastercard za crdb, vodacom m-bet ni *149*19# sema hawa jama wako slow sana hauwezi ukabet meche zaidi ya tatu.
 
haya tena muhindi mwaka huu atanpga ban nimejilipua timu 7 kwa handcapwin
munchen
dortmund
watford
sanderlnd

wolfsburg
liverpool

fluminense

kwa buku mpk 2mr tym kama hz ktaeleweka,bado mechi mbili kama mbwaimbwai tu!
mkeka wangu wa capdraw umekatika tyr sundrlnd kauchanachana na wale wangese galatasalay
 

inaonekana unaangalia matokeo afu ndo unaleta hapa hiyo kawaida yako kila siku
 

huyu jamaa muongo tu
 
mkuu hakuna cha uwongo, nimeshawahi kula 1.6mlin kwa elfu5 tano tu, niliweka timu 20 !
siku nikipiga nyingi kwa pesa kidogo nitaupload uone mkeka wangu.

sio wewe ni yule jamaa ambae hatoi mikeka ye anakuja akishinda
 
Kie kie kie kie Paka mbaya unasema jamaa anabania mikeka anakuja akitusua tu?
 
Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!

kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!

Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily

C.E.O hiko kitabu kipo ila hakuna jipya, walichoandika na tunachofanya hapa (kupeana tips) ni sawa tu,
 
baada ya jana chelsea kula vichwa vya wengi, lakini hatukati tamaa.....

mkeka wangu wa leo,

monaco vs nice , l 1 l, win
Benfica vs Olhanese, l 1 l, win
Porto vs Rio ave, l 1 l, win
Sevilla vs granada, l 1 l, win
Norwich vs Liverpool, l 2 l, lose
Albacele vs melila, l 1 l, win
Monaco vs Nice l 1 l, win
Hull city vs Asernal, A1+ , away team to score at least one goal
Everton vs Man utd, GG , both team to score during the match
Gazovik vs Angusht, l 1 l, win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…