Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu moja huwezi shinda 250k kwa 500 labda kama kapewa odds 5000 kitu kisichowezekana
viva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww
teh teh teh mkuu nitumie japo kabuku ten tusheherekee wote, sharing is caring teh teh tehviva atletico,viva mikeka!pasaka mwanana nmemtundika 250k na ushee kwa kwa tsh.500/= ya kitanzania,mikeka siachi ng'ooooooooo chezea kujilipua ww
uliweka game ngap
Timu moja huwezi shinda 250k kwa 500 labda kama kapewa odds 5000 kitu kisichowezekana
haya tena muhindi mwaka huu atanpga ban nimejilipua timu 7 kwa handcapwin
munchen
dortmund
watford
sanderlnd
wolfsburg
liverpool
fluminense
kwa buku mpk 2mr tym kama hz ktaeleweka,bado mechi mbili kama mbwaimbwai tu!
mkeka wangu wa capdraw umekatika tyr sundrlnd kauchanachana na wale wangese galatasalay
inawezekana ameweka timu nyingi na zenye odds nzuri,
mfano ukiweka timu 10 na zenye odds ya 2, then 2^10 = 1024, hapo ukiweka 500 unapata 500K
na kama unavyosema lazima iwe odd 5000, hapo angepata 500*5000= 2500K (miln 2 na nusu)
na yeye kasema amepata 250K (laki 2 na nusu) sio 2500K
ni hesabu tu hapo
mkuu hakuna cha uwongo, nimeshawahi kula 1.6mlin kwa elfu5 tano tu, niliweka timu 20 !huyu jamaa muongo tu
mkuu hakuna cha uwongo, nimeshawahi kula 1.6mlin kwa elfu5 tano tu, niliweka timu 20 !
siku nikipiga nyingi kwa pesa kidogo nitaupload uone mkeka wangu.
Kwani shehe yahaya hakuacha mrithi!!
kuna mdau kantonya eti kuna kitabu kinauzwa dola 47 kinaitwa how to make your bookmaker as an ATM!!
Yaani ukisoma hicho unampeleka kanjibah kibra daily