Nilichogundua nikutokucheza game ambazo azipo livescoreNilikuwa naamini tu nikikuta mkeka una nyekundu... Basi umeliwa... Leo Mungu saidia.. Leo Nimeangalia hii mechi ambayo imewekewa lost..nimecheza under 67.5 ..na Mwaginghi imeisha na rebounds 60...lakini wameniwekea lost.... Na zimebaki Mechi tatu nimpige... Lakini mechi imeshinda wameweka lost..... Angalieni Mikeka yenu vizuri.. Hawa 1xbet nao ni wezi tu.... Nilikuwa nafuta mikeka huu siufuti... Kama ushahidi... Japo ujinga wetu hatujui Kama kasajiliwa Tanzania ama laaaa lakini mnaoweka mizigo humu 1xbet Mimi hiii ni mara ya tatu... Wezi wezi wezi
View attachment 913150
Hapo kwa man city weja over 1Jameni ndugu zangu,
Mi sina roho ya ubahiri,wala uchoyo.
Huu hapa in mkeka wa kesho,tarehe 28/10/208. — 29/10/2018.
Nimeupost usiku huu ili wewe mwanabetting uuhakiki,uuchambue na kuuchukulie hatua.
Ni mkeka mzuri,wenye Odds 4+ najua,
Mtaalamu wa kubeti ushaelewa cha kufanya.
Najua keshokutwa utanifuata DM kunishukuru endapo Mungu akipenda.
Nawatakieni kila la kheri,View attachment 913161
Nilikuwa naamini tu nikikuta mkeka una nyekundu... Basi umeliwa... Leo Mungu saidia.. Leo Nimeangalia hii mechi ambayo imewekewa lost..nimecheza under 67.5 ..na Mwaginghi imeisha na rebounds 60...lakini wameniwekea lost.... Na zimebaki Mechi tatu nimpige... Lakini mechi imeshinda wameweka lost..... Angalieni Mikeka yenu vizuri.. Hawa 1xbet nao ni wezi tu.... Nilikuwa nafuta mikeka huu siufuti... Kama ushahidi... Japo ujinga wetu hatujui Kama kasajiliwa Tanzania ama laaaa lakini mnaoweka mizigo humu 1xbet Mimi hiii ni mara ya tatu... Wezi wezi wezi
View attachment 913150
KafanyajeMonaco mbona majanga
hii ni game kubwa kwenye kikapu... Ipo hata huko livescore... Flashscore, sofascore kotekote unaikuta... Na hii sio mara moja imenitokea hii mara ya 3... Sikuwa natilia maanani.. Nikionaga nyekundu tu Najua nimeliwa nafuta mikeka... Sasa Leo Nimekaa naangalia Mechi nzima....Nilichogundua nikutokucheza game ambazo azipo livescore
KafungwaKafanyaje
Ulimpa win auKafungwa
Nilimpa win aiseeUlimpa win au
Nilikuwa nimekata tamaa na YOUNG BOYS. Alichofanya hakikutarajiwaHongera kwa watu wa youngboys[emoji23][emoji16][emoji3]hali ilikuwa tete
Kuna wadau humu wa nba?View attachment 913179
Umeuona mkeka nilioattach!!??..... Nitafutie matokeo ya hiyo Mechi iliyotiwa nyekundu...under 67.5 rebounds... Sasa jichoshe kutafuta matokeo yake... nacheza kikapu siku zote na kwa NBA natumia Flashscore kwa ligi za ulaya sofascore... Kwa kuwa mkeka nimeuweka... Naomba nikosoe kwa matokeo niliyochagua ni under 67.5 rebounds.... Kama zilizidi Tafadhali Nipe source.....Jamaa wapo makini sana, jaribu kuchunguza yawezkana wewe ndie uliekosea
Poa ntatupia nahis kwny saa sita hukuTupo mkuu uwe unatupia tu hizo tips tutaruka nazo tu.
Nmecheza timu 9 leo ila monaco pek yake kaniletea miMAVIMonaco mbona majanga
Umeuona mkeka nilioattach!!??..... Nitafutie matokeo ya hiyo Mechi iliyotiwa nyekundu...under 67.5 rebounds... Sasa jichoshe kutafuta matokeo yake... nacheza kikapu siku zote na kwa NBA natumia Flashscore kwa ligi za ulaya sofascore... Kwa kuwa mkeka nimeuweka... Naomba nikosoe kwa matokeo niliyochagua ni under 67.5 rebounds.... Kama zilizidi Tafadhali Nipe source.....