Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Simba wanaongoza sijui kwann wameweka hiv, ndio maana huwa hawa hawaweki ligi ya bongo inawachanganya, sasa hapo sijui anakaaje.
Yaani wameshaniharibia niliweka stake ya maana. Sjui itakuwaje?
 
Weka stake ndogo kwa option zenye probability kubwa ya kula hizo direct win presha inakuwa 10000/250000 na kama una mume basi unaweza usimuhudumie kama umeweka stake kubwa mpaka upate matokeo na mkeka ukiraruka i don't will happen ahahaha.
Sirudii Mkuu
 
Ila arsenal basi tu sijui nilimwamini nini kumpa direct win huku naona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…