Raha sanaaaBandika bandua, Aisee.View attachment 920909
Hawana ofis bongo ivo ni kazi bure hata wakizuia tusi bet bado tuta endelea kuwapataAisee mkiwasifia sana watapelekewa efd kausheni tule neema kimya kimya wanangu
Nenda bet slip, juu utaona kuna kabox kana mshale katikati upande wa kulia, bonyeza hapo itakuletea option ya Save bet or Download bet. Chagua download bet halafu ingiza hizo CODE.Samahani naomba unielekeze hizo code zinawekwaje maana mimi nikifungua apk inaniletea direct game zilizopo sasa nashindwa kujua wapi pa kuziweka hizo code
Ow #void ile forums ya kuchek in play prediction inaitwajeNenda bet slip, juu utaona kuna kabox kana mshale katikati upande wa kulia, bonyeza hapo itakuletea option ya Save bet or Download bet. Chagua download bet halafu ingiza hizo CODE.View attachment 920925
Skipnafanya registration kwenye apk ila kuna sehemu wanasema promo cord cjui nijae ipi sasa ,msaada plse
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah!!!KUMAmoto amechana...nilibet draw yeye kapata goli dakika ya 90+!!! Ndio maana kumbe aliitwa jina hilo la ki Amber Rutty[emoji22][emoji22][emoji5][emoji3]View attachment 920182
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Shukurani sana mkuu sasa tutakua tunaenda sambambaNenda bet slip, juu utaona kuna kabox kana mshale katikati upande wa kulia, bonyeza hapo itakuletea option ya Save bet or Download bet. Chagua download bet halafu ingiza hizo CODE.View attachment 920925
Ngoja niweke chambo kidogo nirushe mkuu.
extra ht over 1.5 woontime
13:00
play single
romania
UTA ARAD V UNIVERSITATEA CLUJ
over 3 odd 2.2+
extra gg & 3+/ ht over 1.5 odd 2.45
Hahaaaaaa hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah!!!
jamani naombeni mwongozo wenu kwenye kucheza na hii 1xbet.apk ninayo ila sasa kila nikigusa nakutana na vitu vigeni ,tofauti kabisa na sport pesa.Shukurani sana mkuu sasa tutakua tunaenda sambamba
Anzia hapo,,nenda bonyeza kwenye mistari mitatu iliolala juu kushotojamani naombeni mwongozo wenu kwenye kucheza na hii 1xbet.apk ninayo ila sasa kila nikigusa nakutana na vitu vigeni ,tofauti kabisa na sport pesa.
changamoto ni jinsi ya kuweka hela na mengineyo,nakutana sana na hizi cord.
mwenye mda kidogo anipe mwanga hapa
ahsanteni