Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Vodacom mkuu ,but hata beyonic wamethibitisha kuwa malipo yamefanyika kikamilifuUnatumia mtandao gani?
Vodacom mkuu ,but hata beyonic wamethibitisha kuwa malipo yamefanyika kikamilifu
hilo tatizo kama langu wadau wakabisha humuWakuu nimedepost hela 1 Xbet na imekuwa successful lakini nikicheki kwenye account hamna kitu!
Kwa wenye uzoefu hapa tatizo nini?
Mi nmeamua kupumzka kidgo nasoma harama za nyakati kwanza
Ndio maana ushauri wa pachanya nimeona hauna mashiko kwasababu malipo yalikuwa yamethibitishwa na beyonic wenyewe lakini ukiangalia kwenye account hamna kitu.hilo tatizo kama langu wadau wakabisha humu
Shukran kk
Stake sina kakaNazani Ulinifwata Bet Won[emoji736][emoji736]
Duh!!!
Hzi yellow sijajua zimetokaje. Nlikuwa nimejilipua over 2.5View attachment 922244
Hii bet gan ngassa?Good Evening [emoji550] Won[emoji736][emoji736] Loading....... code L8426
Asante sana edger....Saa 8 :50 Inaanza Code 8CA26 Good Afternoon [emoji274] Won Loading......
Ni promotion tu,weka hela uone watakavyo kubumbia kimya,Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Yaani over 2, yakipatikana magoli mawili tu kwenye hiyo mechi, inakua refund, but ikiwa yamepatikana magoli 3 kwenda juu ndo winMie naona ni kitu kimoja tu japo sijui wao wanamaanisha nn