Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimejifunza kitu mkuu leo kumbe handcap zako unaichek ile quarter ya mwisho yupi ana dalili za kuiongoza ndo unatupia in favor yakee
Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sana
 
Siku hizi nimeamua nimfilisi muhindi kwa kubeti Basketball, kwa kweli najichotea tu za muhindi. Tatizo la football huwa timu hazitabiriki hata kidogo
 
Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sana
Mkuu,hii kitu ulianza na mtaji kiasi gani? Changamoto zipi ulizipitia hapo awali mpka ukaja kuwa angalau expert.

Pia kwa nn uliamua kujikita na basketball,badala ya football.

Tupe mbinu mkuu hasa wenye mitaji midogo,
 
Kina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,
Jana zimenipukutisha sana kidogo niishiwe, imagine mechi unaipa under 12.5 kona na wakati huohuo wana kona 5 tu second half tena dakika ya 73 hv,
Yani zikaanza kumwagika ka mvua ya elnino.
Mpaka dakika 90'+ wana kona 13 na mkeka kwaheri.
Kwahiyo ni bora nitumie njia nyingine tu katika betting na siyo kona mzee.
 
Kaka kaka tafaadhari nakuomba basi angalau uwe unaweka code,
Wengine tunakuwa tunahanya kinoma kuzisaka hizo options za handcap
Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sana
 
Kona ni hatari kwa afya ya mbetiji sometimes[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kwel ila kuna muda unaweza usiamin unahitaj kila timu ipate hata kona moja alafu mpaka mwisho wa game zimepigwa zaid ya kona 12 ila timu moja haijapata hata kona moja ndipo utakapoona kumbe kona mud mwingine ni hatari kwa afya.
mbona corner mindo huwa naona ni sels zaid than ayo maoption mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…