Ata mia tano unadeposit bwanaaa acha kutudanganya ala!Kudepost ni angalau Tsh.1,500- 20,000,000...
Sii chini ya hapo
Kubetia kuunanza na gharama ya Tsh.300.
Umeongopewa waziwazi ku-deposit ni hata kuanzia jero (500)Thnk you mkuu
Anazungumzia Ixbet hyo sio merridianUmeongopewa waziwazi ku-deposit ni hata kuanzia jero (500)
Kudepost ni angalau Tsh.1,500- 20,000,000...
Sii chini ya hapo
Kubetia kuunanza na gharama ya Tsh.300.
Wewe ndie mwongoUmeongopewa waziwazi ku-deposit ni hata kuanzia jero (500)
Nami nilikua namaanisha hiyohiyo 1xbet kwa Vodacom unaeka kuanzia 500Anazungumzia Ixbet hyo sio merridian
Aiseee unatumia network gani mimi natumia Vodacom na nawekaga kuanzia mia tanoWewe ndie mwongo
Achaa uongoo mkuu m mwenyewe natumia vodaaa minimum deposit n 1500 ....Nami nilikua namaanisha hiyohiyo 1xbet kwa Vodacom unaeka kuanzia 500
Pole sana kaka mimi naweka kuanzia mia tano na inaenda trust me sidanganyi.Achaa uongoo mkuu m mwenyewe natumia vodaaa minimum deposit n 1500 ....
Sio kweli toka lini hyo minimum kudeposit n sh 1500Pole sana kaka mimi naweka kuanzia mia tano na inaenda trust me sidanganyi.
Leta evidence tuoneeePole sana kaka mimi naweka kuanzia mia tano na inaenda trust me sidanganyi.
Jaribu kuchunguza unapoweka stake ndogo unakuwa na confidence ya kuwin na wala huogopi kuikosa ila ukiweka stake kubwa unakuwa muoga wa kuipoteza na hatimae mentality unajijengea lost badala ya win ndiyo pale msemo wat you think you become unapotimia.Hii betting bwana muda nikiweka stake ndogo mzigo unatema kama hauna akili its okay ila muda nikiamua nijilipue aloo ni balaa siambulii ata manyoya tu yani bado naendelea kuusoma huu mchezo kwanini unakuwa na matokeo ambayo yananishangaza mimi asee View attachment 924355View attachment 924356View attachment 924357
Unawekaje hiyo 500 maana inakuandikia the amount is lower than the minimumPole sana kaka mimi naweka kuanzia mia tano na inaenda trust me sidanganyi.
Magoli 3 na kuendelea yakifungwa 2 stake inakuwa refundedOVER 2
inamaana gani?