Been a while chief, bado tunapambana.. uko kimya?Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....
Niko kwenye majaribio ndio maana naweka dau dogo.Mbona unabet gemu nyingi ivo..
Punguza match then weka stake inayoeleweka sio izo unazoweka..
nipo jamaa angu...Been a while chief, bado tunapambana.. uko kimya?
Nime wauliza wame nijibu hiviNaona zimetoka bahati mbaya maana hata wao wanaanza kubuni buni namna ya kutatua tatizo hiloView attachment 924663
Nahisi wameshtukia wanaoshinda ni watz tu[emoji23][emoji23][emoji23]Kama una pesa ktk account yako ya 1xbet nahisi kama inaelekea kula kwako nami nahisi nimepoteza pia japo asubuhi nyingi niliitoa
Hamna kitu wale wanapata faida kubwa sana kuliko tunavyofikiria, wanaoliwa ni wengi kuliko wanaokulaNahisi wameshtukia wanaoshinda ni watz tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hata mimi mzigo haujafika ila haitapotea inaonekana kuna technical problem...Ukiangalia kwenye Withdraw History utaona hela yako Haijawa approved ili ifike..Hili tatizo lishatokea way back Ila tulirudishiwa hela zetu.Kama una pesa ktk account yako ya 1xbet nahisi kama inaelekea kula kwako nami nahisi nimepoteza pia japo asubuhi nyingi niliitoa
Sure Hamna kampuni ya betting inayopata hasara..Hakuna.Hamna kitu wale wanapata faida kubwa sana kuliko tunavyofikiria, wanaoliwa ni wengi kuliko wanaokula
Hata mi sizioni aiseeeeGame za live hazionekan
Hata mimi sizioni aisee// sijui site inaenda chini wanasepa na mpunga wetu
Ila hiyo Kodi mm inanikera SanaWaliofuata WOON ingawa nilipost maneno tu bila mkekaView attachment 924720
Mrusi anataka tubet live michezo hii, football haipoGame za live hazionekan