ozzy isayah
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 488
- 302
Shukuru kidogo aiseee manake asije fungiwaaa[emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu sijaanza bado kufuata hizi mambo zako, ila trust me nakufuatilia vizuri mno kujifunza kutoka kwako, na ninajifunza sana kutoka kwako.
Unaweza kuwa hufahamu umuhimu wako hapa kwenye huu uzi ila kusema kweli una umuhimu mkubwa sana.
Hakika umenipa inspiration kubwa sana ya kuacha kubet football na kuhamia kwenye basket. nina mtaji wangu wa 60,000, natumaini nitaukuza kutokana na mafunzo nayoyapata kwako na kwa wadau wengine humu
Hongera mkuu na usisote kutufunza. Zaid mkuu usisahau kushare na code ili tubet chap chap pale inapobidi ku kopi mkeka wako
Afungiwe kwa nn????Shukuru kidogo aiseee manake asije fungiwaaa[emoji24][emoji24][emoji24]
Afungiwe kwa nn????
Nazungumziaa hapa jukwaani sio unapozungumziaa wwHuwezi mshinda bookmaker mpaka akufungie. Siyo kwa betting ya Bongo.
Mungu akupe uzima,In play wahi hiyo quarter 3 View attachment 927784
Mkuu hapa jukwaani unafungiwa!
Mkuu funguka tufaham wote bhanaWe hujuii eeeheee....tuishiee hapo tusije waamshaa
Jamaa mbna ww huwa huposti mikeka? Inaonekana una uzoefu sana, posti basi tukufateKAMPUNI YA KUBETIA BORA KULIKO ZOTE DUNIANI >>>This Web site is not available in your country.
Afungiwe na bookmakers?Shukuru kidogo aiseee manake asije fungiwaaa[emoji24][emoji24][emoji24]
www.playmaster.co.tzHabar Naomben Link au Jina ya Apple ya kubetia ambayo katika Mkeka ukilost mech moja wanakulipa bonas naomben Link make namiss sana mech moja moja tu kila Mkeka
Ndio mimi apa tena sasa ivi na imefika bila kuchekewakuna aliye deposit 1xbet kupitia m-pesa leo na hela ikaingia kwenye akaunti?