Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo option ya block nimetafuta nimeikosa. Au hadi match iwe in play?
 
Hizi blocks ni kwa game nzima au kwa quarter mkuu, na blocks ni tofauti na rebounds? Nielewe mkuu maana wengine tupo shallow kwenye busket.
Blocks ni kwa mechi nzima. Blocks ni tofauti na rebounds , rebounds ni mpira mpaka ugonge rim atakayeuwahi ndio inakuwa rebounds hizo ni nyingiiiii Sana kwa mechi zinaweza kufika mpaka 80-90 na ushenzi , ila blocks kama unavyoziona ni chache sana kutokea block ni pale mchezaji anarusha mpira ama anacheza lay-up (anaruka na mpira kufunga) ukifanikiwa kuuzuia mpira bila kumgusa mchezaji anayeshambulia ndio Inaitwa block ni chache sanaaaaa Kama unavyoona kuna mechi zingine zimeisha bila block kabisaaaaa na zilipata blocks zimecheza kwenye 7-10. Karibu
 
Wabeja sana mkuu acha tuendelee kuokotaokota huenda one unknown day na sisi tunaochezea black every damn day tutakuwa tunagonga green tu, shukran sana mkuu.
 
Hiyo option ya block nimetafuta nimeikosa. Au hadi match iwe in play?
Masoko/chaguo mengine yanachelewaga kuwekwa.. Kwa kuwa mechi za NBA zinachezwaga mostly kuanzia saa 8 usiku hivyo jioni jioni ndio wanaweka options zote. Blocks ni kwa NBA tu jamani ligi zingine hazina zina rebounds
 
Wadau hivi Hawa M-LIPA mbali na kuwa na mawasiliano ya namba hii 0754869302, je Kuna namba nyingine tofaut na hio???
 
Wakuu nina laki moja nataka nimuchinje man city, kwa odd wamezompa man u ninatoka na laki kama saba ivii na ushaur kabla sijajilipua jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…