Tue 13/1110:45 pm
Portsmouth - Tottenham U21
EFL Checkatrade Trophy - England - Football
Ft 1 @ 1.78
Tue 13/1102:30 pm
East Bengal - Chennai City FC
India I-League - India - Football
Over 2.5 Goals @ 1.60
Tue 13/1103:30 pm
Dhamk (KSA) - Al-Qaisoma (KSA)
Saudi Arabia Division 1 - Saudi Arabia - Football
Ft 1 @ 1.59
ndo mana wabongo hatuwezi kuendelea abadani badala afikirie kudumisha ujamaa yeye anauharibu ***** zaoKwa hiyo hao M Lipa nao wamekubaliana nao ili watuhujumu sasa tukihama wao commission watakua wanapata wapi?
Si ndio wanapoteza wateja na wao
MLIPA NI BURE KABISA HAWANA AKILI HATA CHEMBEKwa hiyo hao M Lipa nao wamekubaliana nao ili watuhujumu sasa tukihama wao commission watakua wanapata wapi?
Si ndio wanapoteza wateja na wao
hiyo apk yao hao MCHEZA naipataje kiongoziNaona MCHEZA Natoa ela inafika ndani ya sekunde ishirini safiiii nahamia uku
We chukua nondo hzo unazotakga utembeeUna betiaa mkeka gani boss pls niambiee
Naona MCHEZA Natoa ela inafika ndani ya sekunde ishirini safiiii nahamia uku
Nasubiri jibu
Ina wezekana ndio apa nabetia unit kama unavo ona mkeka uki tik natoa kama kawaKwa wale wazoefu wa pmbet zilee units wanazokupaaa mfano ukazitumiaaa kubetiaa na ukawin unawezaa kuzi withdraw au !?....
Premier bet tatizo ni kuwithdraw siku za weekend hawatoi pesa. Haya makampuni mengine tatizo kodi
Premier bet tatizo ni kuwithdraw siku za weekend hawatoi pesa. Haya makampuni mengine tatizo kodi
WALE MNAODEPOSIT FEDHA KUPITIA TIGO PESA MFANYE MIAMALA MAPEMA, TAHADHARI KUTOKA TIGO;
Ndugu Mteja, Tigopesa itakuwa na maboresho kati ya saa 6 usiku hadi 11 alfajiri. Furahia huduma zetu kabla na baada ya muda huu. Asante.
Kama vile hawakati mkuu maana ile kodi wanayokata wanaireplace kwa bonus so hakatwi mtu kodikwa hiyo mkuu premier bet hawakati kodi?
mdau uliwapigia simu au?Hatinaye M LIPA wamenirudishia hela yangu ya tangu j5 ilopita. Nmekoma kabisa kuwatumia hawa m lipa.
Kwahy utatumia nn kama cyo m-lipaHatinaye M LIPA wamenirudishia hela yangu ya tangu j5 ilopita. Nmekoma kabisa kuwatumia hawa m lipa.