Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Inabidi uwe msumbufu aseeAHSANTE MKUU TAYARI NISHAWAPA VYAO WANAZINGUA SANA!!.
hakuna kukatika tamaa wadau kama una acc ya bank unaweza kuwa wafanya mambo maana 1xbet kwangu ni bora kuliko !!!
yajayo yanafurahisha
Were tuendage adi kwa benk tenaaaaEmbu nielekeze mkuu pale kwenye CVV/CVC unajaza namba gani pale. Natumia master card ya NMB
Embu nielekeze mkuu pale kwenye CVV/CVC unajaza namba gani pale. Natumia master card ya NMB
Kwani wa hapa ndani wakikudhulumu utawapeleka wapi?1xbet haijasajiriwa hapa tanzania ,ina mana hawalipi kodi,inatumika kinyemela na kinyume cha sheria, hivyo usalama wa pesa yako ni mdogo sana.Na hata ikitokea kudhurumiwa hauna pa kuwapeleka ,huo ndo ukweli na kupga hela wanapiga kwa ujanja sana
Hao Mlipa si wakuwalaumu mana ni mawakala na wanafanya kazi kwa mjibu wa sheria na pengine yeye ndo anamakosa zaidi hata ya Mlipa kwa sababu hajakaa kiutaratibu.
WE HUJIULIZI KWA NN KAMPUNI ZINGINE ZIPO ACTIVE SANA ZAIDI YAO.Huduma yao itasitishwa mda si mrefu.
Mmmmh mkuu wewe wewe utakuwa bwana masoko wa meridian bet si bure maaana si kwa povu hili asee duuh!!1xbet haijasajiriwa hapa tanzania ,ina mana hawalipi kodi,inatumika kinyemela na kinyume cha sheria, hivyo usalama wa pesa yako ni mdogo sana.Na hata ikitokea kudhurumiwa hauna pa kuwapeleka ,huo ndo ukweli na kupga hela wanapiga kwa ujanja sana
Hao Mlipa si wakuwalaumu mana ni mawakala na wanafanya kazi kwa mjibu wa sheria na pengine yeye ndo anamakosa zaidi hata ya Mlipa kwa sababu hajakaa kiutaratibu.
WE HUJIULIZI KWA NN KAMPUNI ZINGINE ZIPO ACTIVE SANA ZAIDI YAO.Huduma yao itasitishwa mda si mrefu.
Wanatambulika kisheria na ww mtumiaji unatambulika mana unalipa kodi kwa kila muamala,hivyo kama kuna jambo halijaenda sawa unawadai vzuri sana tofauti na pale kampuni inakuwa haina usajiri ndugu.Kwani wa hapa ndani wakikudhulumu utawapeleka wapi?
Poa mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmmmh mkuu wewe wewe utakuwa bwana masoko wa meridian bet si bure maaana si kwa povu hili asee duuh!!
MKUU NIMEWAPIGIA TANGU JANA LAKINI HAWAPOKEI SIMU NIMEWATEXT WHATSAPP!!.Umewapigigia au umewatumia sms?
Mabenki yamesajiliwa lakini yanasepa na fedha zetu tunaishia kulipwa 1.5 million hata kama ulikuwa na milioni 100. Kwa kisingizio kuwa yameshindwa kujiendesha, je kuna pakudai...???Wanatambulika kisheria na ww mtumiaji unatambulika mana unalipa kodi kwa kila muamala,hivyo kama kuna jambo halijaenda sawa unawadai vzuri sana tofauti na pale kampuni inakuwa haina usajiri ndugu.
NDO MANA KILA SEHEMU WANAANDIKA IMESAJIRIWA KWA NAMBA KAZAA NA WANALOCATE NA OFISI ZILIPO KWA MSAADA WOWOTE.AMIN NDUGU
hapana tunaelezana tu tunapocheza tuwe na moja kichwani na tuwe tayari na aza yoyote,kwenye vita usiulize risasi imetokea wapi,ndo hizo aza sasa.UNAWEZAJE KUFANYA BUSINESS NA MTU ASIYE NA OFISI MKUU HATA KAMA HUJASOMA,UNAMUAMINI UNAMPA MTAJI WOTE.LIKITOKEA LA KUTOKEA LAZIMA ULIE TUMmmmh mkuu wewe wewe utakuwa bwana masoko wa meridian bet si bure maaana si kwa povu hili asee duuh!!