Promo code ndy zp hafu mbn m inazngua kujionView attachment 933082
Hivi gal betting kwenye total mbona sioni over 0.5 .2.5 na kuendeleaa wala under wangese hawa wamenikoseshaa elaaa kwa ujingaa wao aaaaaaaaaaaagh
Walikuibia chief?hawa jamaa wezi mtu asiwafate wadau
View attachment 933092
Zipo mdau haukutaka kuuliza... Nenda kwenye goals.. Zitakuja options Tafuta option ya under/over utazikuta
Hawa hapa
BET AFRICA
Mzee hebu zifunguee ..mi nshazoeaa zile za o.5.1.5,2.5 hzo nyingine nashindwa zielewaa nielekeze boss
Hivi gal betting kwenye total mbona sioni over 0.5 .2.5 na kuendeleaa wala under wangese hawa wamenikoseshaa elaaa kwa ujingaa wao aaaaaaaaaaaagh
Hao wezi wala usijaribu,kuna siku mtu mmoja alitakangaza mi nikasema ngoja nichungulie basi nikaenda nikajiunga kwanza hizo za free zenyewe zinabuma kila siku nikaomba aniunge ba VIP ya siku moja nitest kwanza akaniunga akanitumia mikeka miwili ya points mbili mbili, mkeka mmoja ndo ukatoa mwengine chali kumuuliza vipi kakaa kimya ndo nika mdelete hapo hapoNaona unavutia wateja waje uwaambie unauza tips! Huo ujanja unajulikana mda sana
Naona tofauti aiseee ...hizi over zao na under za tofauti jana nimekosa elaa kwa kukoseaa tuWe ndy hujaelewa namna ya kubet nao. Kila option ipo
Naona tofauti aiseee ...hizi over zao na under za tofauti jana nimekosa elaa kwa kukoseaa tu
Lets say nataka kuweka total goal or over 0.5 nafanyaje hapoWeka screenshot Ya option unavyotaka uelekezwe
Alafu hivi waanza kubet kuanziaa how much??Sasa usiseme wao hawajaeka hizo options kumbe ni ww kutokuelewaa.
Alafu hivi waanza kubet kuanziaa how much??
Lets say nataka kuweka total goal or over 0.5 nafanyaje hapo
We jamaaa ..... atakuwa na kaugeni twende naye taratibuUnazingua mzeee!! Kila betting system ina weka kiwango chake cha kubet. Tafuta hapohapo kweny hiyo site utaona. Kuulizana ulizana vitu vdg vya kijinga hivyo ukome. Chet cha shule unacho unashindwa kutumia.
View attachment 933129
Mjomba.. Nimekwambia angalia kushoto Kuna hizo 0.5,1.5 mpaka 5 5.. Kwenda kulia kuna under ama over.. Ukienda column ya 0.5 fuata row yake kwenda kulia kumeandikwa under inafuata over.. unaclick unachotaka. Mfano hapo nimeclick ulichouliza over 0.5