Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kuna aliyefanikiwa kutumia mpesa MasterCard kuweka pesa 1xbet ama paypal,
Kwangu nimejaribu nimeshindwa,
Hata mimi ndio nimejaribu hapa mpesa master card imegoma.
Sijui nimekosea wapi. We imekuketea ujumbe gani mkui
 
Kwa kadi ya benki inakubali sema hizi benki zetu mizinguo sana, nina karibu miezi mitatu tangu niwaombe crdb waiwezeshe kadi yangu kufanya online purchase lakini hadi leo hola...
Hata mimi ndio nimejaribu hapa mpesa master card imegoma.
Sijui nimekosea wapi. We imekuketea ujumbe gani mkui
 
England National League South

Dartford vs Oxford

GG & over 2.5 @ 2.25✅✅✅✅✅

Combo✅✅✅✅✅

Friendly Games

USA Women vs Scotland W

Under 2.5 @ 3.35✅✅✅✅✅

Stake ½✅✅✅✅✅

England EFL & FA Trophy

Poole Town vs Brentwood
Over 2.5 @ 1.55✅✅✅✅✅

Mickleover vs Stafford Town
Under 3.5 @ 1.35✅✅✅✅✅

Odds 2.01✅✅✅✅✅
 
NBC wako poa sana wao ukifungua tu account wanaiactivate kadi moja kwa moja ila crdb mpaka uende kwenye tawi ujaze form usubir sijui utumiwe meseji mizunguko kibao.
Kwa kadi ya benki inakubali sema hizi benki zetu mizinguo sana, nina karibu miezi mitatu tangu niwaombe crdb waiwezeshe kadi yangu kufanya online purchase lakini hadi leo hola...
 
Me nilishahangaika nao nilivyoona mlolongo mrefu nikaenda nbc kuulizia taratibu za kuactivate wakaniambia kadi imeshakuwa a tivated toka mwanzo nafungua, tokea hapo nikawa natereza kulipia miamala ya mtandao kama kununua vitu ebay, aliexpress na kulipia bili nyinginezo.
crdb kero katika hilo
 
Bora niende nbc
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…