Wanadhamini ligi ya italiy seria A.Muhimu zaidi 1xbet ni moja ya makampuni yanayodhamini kama si ligi ya Hispania kwa ujumla basi ni moja ya timu zinazocheza ligi ya laliga
Iko poa ii mkuu ata kufanya miamala ni sekundi 30Kuna mdau alitupia link ya mcheza.co.tz jana, nika download app yao.Hii ni ni kama copy ya 1xbet, maana feature zote zimefanana na hawa akina Putin.Nimeangalia upande wa option naona si haba, walau kwa kipindi hiki ngoja nitest mitambo.Ila hii kitu 1xbet mwisho wa mambo yote aiseee!!!!!
1xbet mkuuHii ni namba ya Mlipa au 1xbet
Ndo watu weusi tulivyo mkuu......kitu simple ujisikiaa kutoa msaada funga bakuli waungwana wafanye yao pumbavu kabisa huyu jamaaa.......We jamaaa ..... atakuwa na kaugeni twende naye taratibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] daah tangu mda gn mkuuNimekoma aiseeee 25k inaenda hivi hivi
Mkuu tofauti ya over 0.5,1,na 1.5 ikoje??????
Wejamaa inaonekana unaliwaga sana
Over 0.5 hii ni zaidi ya 1 na si pungufu ya hapMkuu tofauti ya over 0.5,1,na 1.5 ikoje??????
Na code hiyoMay be yesView attachment 934196
Imenibid nitumie airtel ndo ikakubali chap kidogo. Ila bado nahangaika nao kuifutilia hiyo ya mpesa simu yao haipokelewi au ipo bize dah*HAWA M-LIPA NI WAPUUZI SANA KILA SIKU MATATIZO KWENYE DEPOSIT NA USIPO FATILIA HELA ILIYOKWAMA HUWA HAWARUDISHI JINGA SANA HAWA, WANIKOSESHA HELA KABISA LEO*
Wameshakurudishia hela yako?*HAWA M-LIPA NI WAPUUZI SANA KILA SIKU MATATIZO KWENYE DEPOSIT NA USIPO FATILIA HELA ILIYOKWAMA HUWA HAWARUDISHI JINGA SANA HAWA, WANIKOSESHA HELA KABISA LEO*
Vip walikutunia ile sms yao au ulideposit bila smsAisee hatimae nimejaribu kudiposit kwa kutumia airtel imekubali na salio linasoma kwenye akaunti ila ile ya voda mpaka sasa bado hawaweka sijui wakoje khaa
Hawajarudisha badoWameshakurudishia hela yako?
Daa ukiwacheki watarudishaHawajarudisha bado