Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Sorry 25k utapata 27kZidisha mara Tsh 2500 nadhani utapata 27000
Sorry 25k utapata 27kZidisha mara Tsh 2500 nadhani utapata 27000
Moja tu hafu unaweka mzgo heavy...mbili jau utachelewa mda........Sorry 25k utapata 27k
Safi ukiliwa hyo option acha kubetNamimi nimeanza kukapply mdogo mdogo
Wamenilamba leo yani niliweka under 80.5 daah vikaisha 82 nikajipa moyo nikajilipua na over 37 wakanila tena na 35 nikaacha kabisa kubet hadi kesho tenaha ha ha ha presha ya under kwenye basket ni nouma kaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Wamenilamba leo yani niliweka under 80.5 daah vikaisha 82 nikajipa moyo nikajilipua na over 37 wakanila tena na 35 nikaacha kabisa kubet hadi kesho tena
Mkuu wewe ndaono zako zakibabe sana wafate wenye roho ngumu t......yahn unawekaga over usiku wwTehtehteh, kupasuka kupo ila utakuta natega ndoano nyingi ,mfano kama kumi ukipasuka tatu, saba zimetick mambo shwari. Sasa kama mtu anataka atege ndoano moja tu na awin, tehtehteh
Kumbe hii option nayo tamu eeeNdo kanilipa ss hivi ngoja nimtandike za uso ss......View attachment 935627
Unauliza virungu polisi yahn hapo kama konda unaokota mia mia zako jion unafunga mahesabu..............vp ushampasua nene?????Kumbe hii option nayo tamu eee
Katika michezo yote ya KUBAHATISHA, upi/ipi ni wa/ya kihuni?