Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hili desa umelitoa chimbo gani?
 
Betting siku ukiipatia unapata hela ndefu kweli na siku ikikupata unalia

Mkuu hebu naomba nielezee sasa hiyo receipt ya kwanza na ya pili inamaanisha nini. Yaani kitokee nini ndio utakuwa umeshinda hiyo pesa.?

Shukrani.
 
wekeni hizi leo

Waregem - Genk (1)
Lech Poznan - Wisla (1)
Horn - St.Polten (1)
Bochum -Arminia Bielefeld (1)
 
M-BET nipeni hela yangu bana, nataka nitandaze mkeka mwingne bana wa leo usku bana...
 
mbet mnazingua nao , toka juzi nimebet nimepatia lkn bado hamjanipa hela yangu, hii manake nini , bora kubeti kwa muhindi pesa yako unachukua mkonon.
 
Leo nimeweka handcap kwa
Sparta prague
Dinamo zagreb
Real Madrid
Mainz 05
Zenit petersburg
 
Ngoja ifike mchana nibet 10 afu nichague multibet ya 4/10 meridian
 
xyz123 mkeka wa kwanza ulienda vizuri watatu walinipa minimum payout. Huo wa pili unafanyika leo ndo nasubiri yaani hapo ili kushinda inabidi mechi 5/10 zishinde au zaidi ya 6 nitapata hela chini ya 5 basi nahesabu hasara kubwa tu
 
Last edited by a moderator:

Yap, nimekusoma. Nimejiunga na Meridian online, ila kila nikilogin naambiwa akaunti haiko activated. Hapo wewe ilikutokea hivyo.? Ulifanyaje.? Na pesa unajazaje.?
 
Last edited by a moderator:
xyz123
Ukisharegister watakutumia email kwenye hiyo email ina link ambayo watakiwa ibonyeza ili uweze kuwa activated.
Kuhusu kuweka hela wana vibanda vyao kariakoo mtaa wa msimbazi karibu na kituo cha police.
Magomeni wana kituo, buguruni.
Huko ndio waenda na kudeposit pesa yako. Hata ukitaka kutoa pia waenda huko huko. Magomeni mapipa kipo karibu na stend ya BRT.
Utakuta kimeandikwa Meridian betting.
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwenye hiyo link na ibofye tu itakuwa activated.
Uzuri wa meridian waweza cheza live.
Mimi huwa nacheza mechi ikifika dakika ya 75-85 kama timu iko na goal mbili hadi tatu naziwekea win au naenda chagua under au over
 
Halafu nisaidie hiyo under na over zinamaanisha nini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…