Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni kama vile loss si ndio mkuu?
Naona kama ulimpa w1 ashinde baada ya kuongezewa points 24.5 si ndo ivo?
Mkuu nisaidie namna ya kusoma odds! Huwa sielewi unakuta waneweke UNDER 1.5 OVER 2.5 au UNDER 3/5.

Ata kusoma hizo odds sielewi kusema kweli sijui nini inadetermine kushinda au kusgindwa.

Natamani kuweka mzigo ila nilijaribu nikapigwa hivyo naogopa sana maana mimi ni layman ya betting sana, ingawa mfuasi mkuu wa soccer
 
Kwahiyo we una bet kwa sababu umeona watu wana bet???


Anyway odd unazidisha na ela unayobetiaa ndo elaa utayokapata ukishinda bet yako

Kama umeweka 500 unazidisha na odd yako
 
Kwahiyo we una bet kwa sababu umeona watu wana bet???


Anyway odd unazidisha na ela unayobetiaa ndo elaa utayokapata ukishinda bet yako

Kama umeweka 500 unazidisha na odd yako
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
 
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
Hahaha we mgeni kabisa... angalia post za nyuma wameelezea kila kitu
 
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
Hapo ni vitu 2 tofauti unavyoongeleaa
 
Weka tu mzigo kadri unavyozid kupigwa ndio kichwa kinazid kukaa sawa na kujua maana ya option zaid na hizo odds hazidetermine kushinda wala kushindwa kama ww kwel ni mfuas wa soka utaelewa nn namaanisha game haitabirk ni bahati nasibu mkuu na betting sio kushinda tu na kushindwa pia kwahiyo jiandae kwa hilo kama ulijua kuna kula tu basi hao wenye makampuni wangeshafunga kitambo sana, mengine chukua muda wako anza na moja huko juu wameelezea vizur sana waasis acha uvivu hakuna hela ya mteremko pambana chambua kadili uwezavyo options ziko open sana kama unajua hata kizungu cha kuombea maji pitipitia na gugo ahahaha.
Aisei, nikisoma mtandaoni juu ya tips za prediction huwa nachanganywa na hizo odds, natamani kujua kama hizo odds zinasaidiaje kutabiri mshindi, afu matumizi ya maneno haya UNDER na OVER
 
Nimegundua betting haiitaji vitu vikuu viwili tamaa na haraka ya kufanya machaguo, betting inahitaji uwe na prior infor za yale machaguo unayoenda kuyachagua na pia uwe mvumilivu kwa maana ya kwamba uwe na subira na ukubali kujifunza kila siku na kila kitu na kwa kila mwanabetting mwenzio mwisho kabisa betting adui wake mkuu ni tamaa acha tamaa kabisa kwenye betting la sivyo zile rangi nyeusi kwenye profile yako hazitaa zikome na siku zote wewe utakuwa adui wa rangi ya kijani,

Shirikisha akili ya ndani wskati unapotaka kutengeneza mkeka wako ama kuplace bet yako narudia tena na tena tamaa ni adui mkubwa wa mafinikio yako katika mchezo huu wa kubet yangu ni hayo

Nb : tunahitaji ela ila tupunguze tamaa twende mdogo mdogo ela zitakuja wakuui
 
Usemalo ni kweli
 
Umesema kweli yote mkuu.
 
Mambo ya kutaka milion kwa buku unaweka timu ishirini hahahaaa alafu ukipigwa unalalamika wakati unajaribu kuposibolaiz imposibles
 
Aisee hivi huyu mtu bado yupo...!?
 
Kizungu kimejaa mpk kinamwagika ila nimefuatilia sana, nakutana na terms ambazo sizielewi hasa matumizi ya maneno kama under na over, sometime unakuta wamefanya analysis team inapewa number fulani mfano 1.3 under na nyingine labda 3.2 over sasa hapa huwa nachanganyikiwa sana.

By the way nitajua ila sasa niko na shida mno ngoja nibett wenda nikabahatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…