Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaribu kuweka hata buku kwenye option zote then ukila au ukiliwa ndo utaelewa zaidi mkuu
 
Mkuu

Over 0.5 maana yake lipatikane goli moja na kuendelea ,UNDER 0.5 lisipatikane goli hadi mpira unaisha mfano 0-0

OVER 1.5 zipatikane goli kuanzia mbili na kuendelea chini ya hapo bet lost,UNDER 1.5 goli ziwe chini ya mbili mfano 1-0,0-0

OVER 2.5 goli zipatikane tatu na kuendele chini ya hapo bet lost and vice versa

OVER 3.5 goli 4 na kuendelea chin ya hapo bet lost and vice versa
 
Under ya 1.3 maana yake game yote magoli yasizidi moja yaani yawe chini ya 1 maana yake 1.0 au 0.0

Over ya 3.2 maana yake game yote iwe zaidi ya goli tatu

Under chini ya.........
Over zaid ya.........
 
Nimekurupuka saa 10 kujaribu bahati yangu NBA nikala za uso nikajutia usingiz wangu na mpunga wangu, nikiendelea na huu mchezo na vipigo hiv kwa muda wa miaka miwil zaid nitakuwa nimepunguza muda wangu wa kuishi maana moyo wangu unapata taabu sana kwenye kusubir mkeka wangu, dah eeh mungu tusaidie tunaokula vipigo wote.
Siamini kama watu wamelala
 
Daah pole sana
 
Wazee baba aiseee wamarekani wanapiga kikapu yani hawa jamaa ni konyo kabisa yani mtu vikapu 20 wanafunga na kuvirudisha ndani ya dakika 3 aisee hawa jamaa wanajua sana basketbal
Niliwapa ushindi Chicago bulls kwota ya 3 ila naona anakimbizwa mbaaaaya najiandaa tu kisaikolojia kupokea matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…