theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
we mkali mkuuIlikuwa nzuriView attachment 937249
Daaah mbona zisioni hizi wimicky??
Huyu naona anaenda kutoa hela km ulimfuata Bado pumzi haijakataHuyu hizi quarter 2 za 1hf ameongoza vikapu 34 nimempa aongoze kwa vikapu 46 tumjaribu naona km Yuko form View attachment 937246
Tuko pamoja mkuu, thanx nliikuta ina -35 odd 2 nkaruka hivyohivyo
Nlimfuata huyu piaHuyu naona anaenda kutoa hela km ulimfuata Bado pumzi haijakata
Waliofuata juu ya alama woon
Aaah ila ukianguka unajikaza mkuuTuko pamoja mkuu, thanx nliikuta ina -35 odd 2 nkaruka hivyohivyo
Hakuna wasiwas mkuu,,,mi sio learner kama wanaolialia wakiangukaAaah ila ukianguka unajikaza mkuu
Jamani tuuze mbona km Nina mawenge naona km pumzi zinamwishia huyu awayHuyu naona anaenda kutoa hela km ulimfuata Bado pumzi haijakata
Mmmh daaassh! Ila bado naendelea na mtizi mdomdo bado sijakaa vizuri ila asante sana kwa ndugu WAMICKY angalau sasa kijani naziona kwa profile yangu kiasi ni za kuridhisha sana tu!!Asante mkuu ngoja tu nisubir kidogo moyo upoe nikaongeze mafuta mapambano yaendelee.
Jamani tuuze mbona km Nina mawenge naona km pumzi zinamwishia huyu away
Muda mwingine huwa nahisibkuwa labda haya makampuni ya betting yanachezaga mchezo na hawa wamiliki wa timuWakuu huyu mrusi ana hila sio bure, kuna ndoano nilitega ligi ya Japan huko futbol timu kama 4 hivi zitoe +0.5 ila mpaka sasa inakwenda dk 65 bado hakuna magoli timu zote haya si maajabu
Ila anaweza bisha maana NI vikapu 3 tu tunahitajiZishakata kabisa huyu mkuu
Mmmh daaassh! Ila bado naendelea na mtizi mdomdo bado sijakaa vizuri ila asante sana kwa ndugu WAMICKY angalau sasa kijani naziona kwa profile yangu kiasi ni za kuridhisha sana tu!!
Nb tamaa ni adui wa mafanikio yako katiks mchezo huu wa betting ama kubashiri nenda mdomdo utafika lakini ukiendelea kuweka tamaa mbele basi jua kuwa daima kuwa zile rangi nyeusi zitaendelea kuwa rafiki yako wa kudumu na zile rangi za kijani kwenye profile yako zitaendelea kuwa adui wako mkubwa sana.View attachment 937305View attachment 937306View attachment 937307View attachment 937309View attachment 937310View attachment 937311View attachment 937312View attachment 937313View attachment 937314
Kachemka kikapu kimoja hivo lossIla anaweza bisha maana NI vikapu 3 tu tunahitaji