Roho mbaya tu za Cashewnuts zinawasumbua,Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana,
Kwani kodi si wanakata wakati wa kudeposit kupitia ile Ada inayokatwa. Wanataka hela gani tena?Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana,
Hii ndo Bongo mkuu, wanataka wao waendeshe mav8 tu na sio wengineRoho mbaya tu za Cashewnuts zinawasumbua,
Mda wote wanawaza tu kubeba cash za watu mifukoni.
Hawa jamaa BETPAWA wamekuja wakati 1xbet ikipitia misukosukoKwa maelezo ya jamaa wa Mlipa anasema wamesimamishwa kutoa huduma ya malipo kwa niaba ya 1xbet mpaka mazungumzo yakamilike juu ya kodi na taratibu nyingine za kuoperate nchini n.k
Hakuna technical problem yeyote ya Malipo.
Sababu kubwa ni hizi kampuni uchwara za bongo kulalamika kuwa jamaa wanawapokonya wateja huku wakiwa hawajasajiliwa rasmi bongo kama wao.Nafikiri wakishindwana tutapewa muda wa kutoa hela zetu..
Hata wakiweka kodi still tutaendelea nao tu.
Bila shaka watakua wanaitaka na ile ya Baada ya Ushindi kwenye mkeka kama ilivyo kwa wale wa vikaratasi kwenye m-bet na premier.Kwani kodi si wanakata wakati wa kudeposit kupitia ile Ada inayokatwa. Wanataka hela gani tena?
Toa somo bro, huu uzi una watu zaidi ya viziwi, kusikia hawasikii hata kuona hawataki japo macho wanayo pia hata miwani wamepewa bure.Kuna mabadiliko ya mfumo wa malipo kwa East Africa nzima.
Beyonic wamevunja mkataba na 1xbet.
Sahivi hii Tenda ameichukua WalletTechnologies inc. (Wallettec)
Hii imepelekea mpaka Kumbukumbu Namba imebadilishwa kutoka "0081bet" na kua "009" kwa hivi sasa
Wanataka 20% mkuu wakati wa kuwithdrawKwani kodi si wanakata wakati wa kudeposit kupitia ile Ada inayokatwa. Wanataka hela gani tena?
Wabongo kwa unafiki hatujambo.. Wewe tangu lini umetumia Betpawa?Betpawa [emoji2]nimewaelewa kampuni za kibongo wajiandae kufungasha virago mamba kashaingia kenge wote majarubani
Wabongo kwa unafiki hatujambo.. Wewe tangu lini umetumia Betpawa?
NomaaaaSOLUTION NI KUHAMIA VISA NA MASTERCARD BASI...!!! NETWORK IKISINGUA TUANZE KUWATUKANA WATU WA BANK ILI NAO WAJUE HASIRA ZA MKAMALIA
Umewaelewa kivipi? Katika option au?? Nimewaangalia option zao ni zilezile tu kama premier na wengine wa tz. 1xbet itabaki kuwa bora katika hii industry ya kubet mkuu.Betpawa [emoji2]nimewaelewa kampuni za kibongo wajiandae kufungasha virago mamba kashaingia kenge wote majarubani
Hiz zakwetu za kuzugia tu tukiwa tunamsubiria mrusi afanye marekebisho tuendeleze inplayUmewaelewa kivipi? Katika option au?? Nimewaangalia option zao ni zilezile tu kama premier na wengine wa tz. 1xbet itabaki kuwa bora katika hii industry ya kubet mkuu.
Namaanisha hv...Wakuu hivi CARDS zinazotajwa huko 1xbet ni RED CARDS au YELLOW CARDS au zote kwa pamoja zinatajwa kama kadi?????? .....
Wataalamu wa 1xbet naombeni msaada kwa haraka niweke mzigo.