Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Kwisha habari, sasa kuweka pesa kama kawa kupitia bank card. Aiseee.
Tupe maelekezo ni bank gan unayotumia CVV Number inakaa upande gan mwa cardKwisha habari, sasa kuweka pesa kama kawa kupitia bank card. Aiseee.
Natumia UBA prepaid card, wala huhitaji kuwa na Account na bank, unafika unajiandikisha unachukua kadi yako unaondoka.Kadi inakuwa imeshakuwa activated, ukichukua tu unaanza kufanya miamala papohapo, Unaweza kuload card kwa Teller au kwa mitandao ya simu.Tupe ujanja Mkuu
Natumia UBA prepaid card, ukichukua tu card inakuwa imeshakuwa activated huna haja ya kuanza kujaza fomu ya activation. CVV code inakaa kule nyuma ya card baada ya signature. Pia huhitaji kufungua account na benki yao, lakini pia hii card haina makato ya mwezi makato ni pale tu unapofanya miamala.Tupe maelekezo ni bank gan unayotumia CVV Number inakaa upande gan mwa card
kwa sisi watu wa simiyu hii naona haitufai ngoja tuendelee kuvuta subira na kuangalia njia nyinginezoNatumia UBA prepaid card, ukichukua tu card inakuwa imeshakuwa activated huna haja ya kuanza kujaza fomu ya activation. CVV code inakaa kule nyuma ya card baada ya signature. Pia huhitaji kufungua account na benki yao, lakini pia hii card haina makato ya mwezi makato ni pale tu unapofanya miamala.
***Aisee UBA mnilipe sio kwa promo hizi****
Kwann isifae mkuu.?kwa sisi watu wa simiyu hii naona haitufai ngoja tuendelee kuvuta subira na kuangalia njia nyinginezo
Aleza hatua zake za kujiunga ili watu wajiunge.Kwisha habari, sasa kuweka pesa kama kawa kupitia bank card. Aiseee.
hakuna tawi lao hukuKwann isifae mkuu.?
Haaaaah mkuu upo Simiyu ako ka mkoa bado sana wilaya zenywe changa tu Sio bariadi, meatu, busega, maswa, Itilima kote hakuna ufadhali kwny huduma muhimukwa sisi watu wa simiyu hii naona haitufai ngoja tuendelee kuvuta subira na kuangalia njia nyinginezo