Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimepima vipimo vyote.naweza kuyandle matokeo yote.SIJAWAHI BET HATA SIKU MOJA NDO NATAKA KUANZA
 
Kwa sasa ni ngumu sana kupokea pesa kwa kitumia PayPal, mimi nina account ya PayPal na huwa naitumia kufanya miamala nje ila kwemye kupokea inakataa, nilipozama kutafuta taarifa zaidi ndo maelezo kama hayo. Kwa Tanzania haiwezekani
 
Wakuu nauliza mnaotumuia bet pawa Ni lazima ufanye transaction kwa mpesa pekee je Kama una tigo pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…