Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Je, kwa upande wa NMB..?
 
Je, kwa upande wa NMB..?

Ukiona hupewi jibu ndugu ujue wezakuwa hakuna mdau anayetumia Nmb kwa ushauri naomba tenga muda nenda tawi lolote lililo jiran nawe ukapate maelekezo..

ila kwa Crdb ukishapata kadi yako unarudi kwa ajili ya kuactivate card yako iweze kufanya malipo na manunuzi online ...


yajayo yanafurahisha
 
Angalau hiyo pigabet inashawishi kidogo japo uchunguzi zaidi unahitajika kujua ubora na udhaifu wake.
 
Mkuu nashukuru kwa jibu lako...

Ila nilikuwa naomba msaada kwa kwako kuhusu 1×bet.

Nilikuwa na maswali kama matatu hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…