Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Ahsante mkuu, hilo jambo jepesi mno hata kesho natinga mlimani city kurekebisha hiyo kitu.Nakushauri nenda NMB maana utauliza hata mara 800 mwisho wa siku itakubid urudi kwenye benki uliyofungulia akaunti ukaactivate hiyo kadi, sasa nenda huko maswal yako yote yatapata majibu.
Ni kampuni moja ila ina vitivo viwiliInterface yao ni kama hawa mcheza
Nilifikiri Uzi umeukimbia MZEE babawale wenzngu na mm wa BASKETBALL nenda kampe Golden State Warriors vikapu vianzie 102 peke ake, kampe Utah Jazz vikapu vianzie 100 peke ake pia kampe Dallas Mavericks vikapu vianzie 100 alafu kamuue Cleveland Cavaliers mazima najua unajua James anarudi nyumbani ok tukutane kesho kwa watakaoona fursa iyo
mimi mgeni kabisa na huu uzi ila tuko pamojaNilifikiri Uzi umeukimbia MZEE baba
Sawa ila kwenye vikapu uko vizuri eemimi mgeni kabisa na huu uzi ila tuko pamoja
kidogoSawa ila kwenye vikapu uko vizuri ee
Nimeona umetema cheche humu,ishara ya kwamba uko njema mjombakidogo
tusubir tuone maana huu mchezo huu naoNimeona umetema cheche humu,ishara ya kwamba uko njema mjomba
acha kufananisha 1xbert na vikampuni uchwaraHii kampuni ya piga bet nimeitembelea ni shida, ina options zaidi ya 1xbet, ndani ya option 1 kuna vi options 30+, na ujazo wa odds zao ni mkubwa. Shida ni kodi tu. Wanakata kodi kama kampuni nyingine. Angalia mfano hiyo option ya *Chance Mix* ina options zaidi ya maelezoView attachment 941888View attachment 941889View attachment 941890View attachment 941892
Unaizungumziaje 'brocks' kwenye vikapu mzee babatusubir tuone maana huu mchezo huu nao
Mkuu ligi inaenda ukongoni hao jamaa wa mwishoni ni atr kwa afya wanakaza sio poaaaa........Pesa ya baadae hii saa 8:45 usiku, first half weka over 0.5, au over 1, pia first half home win. Second half over 0.5 au over 1, pia home win. Full-time home win. Full-time weka over 1.5 au over 2. Tukutane sheli.View attachment 942220
Mkuu vipi???Mkuu ligi inaenda ukongoni hao jamaa wa mwishoni ni atr kwa afya wanakaza sio poaaaa........
Hamna njia za Mpesa mnawekaje hela mzee???[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]In play zote cheza mara nyingi uwezavyo mambo yamenonaView attachment 942315View attachment 942316View attachment 942317View attachment 942318