Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu shwari chief nimelitafuta ili javi lako lakini silion kwenye interface yangu nimehjari u kusearch bado pia silioni ndugu!!
Mkuu shwari chief nimelitafuta ili javi lako lakini silion kwenye interface yangu nimehjari u kusearch bado pia silioni ndugu!!
mkuuu hivi unatumia app gan kubetia nimesha
wishika #apps nzuri kwa sisi wageni wa kubet?
 
Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa hivi MIMI, BETPAWA na VODACOM tunatafuta shs 10,000 niliyowithdraw jana saa 6 usiku na bado hatujaipata
jana uck mtandao wa voda ulikuwa unasumbua sana, hata mimi nilitoa hela superbet saa 8 uck mpaka sasa haijafka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…