Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Kabla ya goli la pili. Nikarusha ndoano.mkuu saruti kwanza kwako,,, kwa kuendeleza mkon'gonto kwa mrusi...
hivi ulibeti hapo kwamba over ya 2 magoli yalikuwa yameshafika mawili au uliweka mzigo kabla ya goli la pili halijafika?
Hawa mandezi ni kweli hawafiki goli 3Mrusi baada ya kubana, safari hii kaamua kujilipua na mechi za Tanzania.View attachment 942736
Tehtehteh hapo palikuwa patamu pakumshika mrusi na kanjibhai masikio. Aisee.Kweli mpira dakika tisini!!View attachment 942737
Tehtehteh mrusi naona kafanya analysis kutokana na mechi za nyumaHawa mandezi ni kweli hawafiki goli 3
Hapo kama ulijilipua under mshindo wake sio wa nchi hii.Alooo! Mabao yote dakika ya 90😳😳
Mrusi baada ya kubana, safari hii kaamua kujilipua na mechi za Tanzania.View attachment 942736
Tehtehteh malalamiko yalizidi watu walikuwa wanalialia sana kuwa pesa zao hazifiki. Mrusi naona kaamua isiwe tabu, labda anafanya maboresho. Sasa hivi ni mwendo wa Visa card.Kila nikiwapigia hawa wajinga wa M Lipa ili niongee nao kuhusu 1xbet hawapokei simu yangu,,,,,,,,sijui watarudi lini kwa payments mobile,,,,,,,,,tunataabika wengine[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
Mkuu suala la zima la kudeposit/kuwithdraw viwango vimekaaje?Tehtehteh malalamiko yalizidi watu walikuwa wanalialia sana kuwa pesa zao hazifiki. Mrusi naona kaamua isiwe tabu, labda anafanya maboresho. Sasa hivi ni mwendo wa Visa card.
Yeap leo asubuh mkuuKuna mtu kesha withdraw kupitia visa
Yeap leo asubuh mkuu