Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cheki hiyo muhindi kalia jana nimempa jero tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
View attachment 943681
Mzee baba kwa vile wewe umejifanya ni mbishi nimerudi tena kwako ili kukuonyesha kwamba umu ndani mtu anafanya kitu kwa malengo yake mara ya mwisho mimi nilijibu comment yako alafu nikaingia mzigoni au siyo na baada ya dkk 45 nimevuna haya yafuatayo na kiasi kifuatacho hiki kiasi wewe ilikuchukua zaidi ya masaa sita kukitengeneza mimi nimetumia dkk 45 kwa stake za 5000 na kula izo faida kidogo tafakari kichwani uone kipi ni kipi alafu nakuekea mikeka apa chini ili uhesabu mwenyewe usije sema ooh jamaa muongo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanangu mtanisameehe sikuweza itupia umu coz nilitaka kumprove wrong huyu jamaa yeue na mawazo yake View attachment 943828View attachment 943829
 
Umemrukisha kichura hana hamu na wewe
 
Mkuu yahn hyo kama 30k ya haraka kwa dakika kadhaa wakti hyo watu wanafuta 24 hrs na wanaweza wasipate....achana nae huyo

Bet kwetu sio bahati nasibu ni office kama office nyingne ko tunachuma kwa stepu hatukurupuki.
 
Mkuu umecapture kwa haraka sana hiz handcap naona basketball ndio nyumban sasa na unatengeneza mpunga safi tu, wengine sisi mkuu ni vilaza darasa la Wimick tumelipata wote lakin ww sasa inaonekana umekuwa mkali balaa, mkuu nasisitiza tena ile research yako ikiisha uje hapa utupe darasa ili na sisi tuweze kujitafunia wenyewe.
Akikujibu unitag alafu umwambie akuwekee na ushahid kabisa mkuu ili uuone mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu yahn hyo kama 30k ya haraka kwa dakika kadhaa wakti hyo watu wanafuta 24 hrs na wanaweza wasipate....achana nae huyo

Bet kwetu sio bahati nasibu ni office kama office nyingne ko tunachuma kwa stepu hatukurupuki.
Siyo watu ndugu mimi niliko ajiriwa kwa siku mshahara wangu kwa siku mi sawa na sh 25000 TZS iyo ela ni naitengeneza kwa muda wa masaa tisa ya kazi mzee baba ivyo unaweza kuona utofauti uliopo no upi na niko kwenye ajira rasmi!!!
 
Uko sahihi kiongozi!!
 
5KN11TWIXML Imethibitishwa.Umepokea Tsh100,000.00 kutoka 222828 - SELCOM B2C tarehe 23/11/18 saa 2:52 PM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh100,181.48.
 
guyz kwa wale wanaotumia 1xbet wanaweza nsaidia kama kunajia rahis ya kudeposit maan naelekea kufanya njaa na kudhalilika yaenda wik nw kipato chang kimepungua kwa 80%
 
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]Pesaa hii leo odd 50+

Nb: waweza kucheza single itakuwa vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…