Inshort kwa style ya kutegemea Skrill na Bank payments kufanya miamala, ni aheri ukawa unabeti na kukuza account ku draw iwe ni siku maalum! Maybe labda unabeti week nzima ila kuzivutia hela skrill kisha benki iwe ni siku ya Alhamisi ya kila week hapo mnaeza mkafaulu ila ile ya kutoa hela kila siku lazma muisahau! Na hapo hela watakuwa wameipurura kinyama mpaka ukaivute ATM kama ni laki 2 basi itakuwa laki na 70 hapo!Mkuu maswali mawili muhimu kwa Uzoefu wako;
1/ Inachukua muda gani kutoa hela Skrill kwenda Account yako ya benki? Nimeona comments Mitandaoni ni siku 5 za kazi..
Tujiandae kabisa Manake tulizoea mobile payments fasta tu.
2/ Makato Yao yapoje Mfano kutoa na kuweka hela Skrill..Yanavumilika?
Kumbe? Ngoja nikaiwekee hela nione kama mambo yataenda byeeee niendeleze mapambanoYaaah mara nyingi naonaga wakija kazini kwetu kufanya promotion ya bidhaa yao basi wanasemaga card zao zinakuwa activated automaticaly kwa ajili ya online transactions mkuu
Mambo vp kiongoz!!! Nimeku PmDaaah tunamshukuru allah aliye juu! Vip wewe umeamkaje mzee dingi?
Ninayo ya Equity nilikua siitumii kivile ngoja niipe uhai kwa ajili ya fungu la 1xbet tu [emoji3][emoji3]Yeah Card ya benki ya online ni option nzuri zaidi ila kwenye swala la makato ndio kichefu chefu yani!
Hata ukisema kuhamishia kwenye simu bado minimum amount ni hiyo hiyo 100k?kuna mdau alisema kwa mastercard ni around 13,500 kama withdraw charges na huruhusiwi kutoa chini ya 100,000 ila kwa paypal kiwango cha kutoa minimum ni 30,000 kwahio hapo utaona pia lazma uwe unafanya serious betting za malaki! Sio za buku buku ukitaka kutumia Card na malipo yake sio instant lazima kuna muda wa kusubiri taratibu za kibenki zifanyike! Mimi nina Visa Card ila sijajaribu ni ya CRDB
Ninayo ya Equity nilikua siitumii kivile ngoja niipe uhai kwa ajili ya fungu la 1xbet tu [emoji3][emoji3]
Hee kumbe hawanifai kudadekiYeah.. Unapoichukua inakuwa iko activated tayari ila hawafanyi transactions kutoka au kwenda kwenye betting companies.. Wanasema ndo utaratibu wao.
Daah kweli hizi betting zimetufanya watu tuanze kupata maelimu makubwa makubwa ambayo wala nilikua sitegemei kuyajya na kuyatumiaUshauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.
Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
Kwa simu si utazivuta kutoka kwenye account kwa sim banking kuja MPESA ama TIGO Pesa ama unaenda kwa wakala wa Benki kuchukua fungu lako tu, kule hamna sidhani kama kuna kupangiwa kiasi cha kutoa!Hata ukisema kuhamishia kwenye simu bado minimum amount ni hiyo hiyo 100k?
Mi mwenyewe nilikuwa sijui kuhusu hizi online payment platforms nyingi kama SKrill, Paypal ila nadhani nitaanza kuzifahamu kisa 1xbetDaah kweli hizi betting zimetufanya watu tuanze kupata maelimu makubwa makubwa ambayo wala nilikua sitegemei kuyajya na kuyatumia
Haya ndo mambo ya maana sasa wabongo tunatakiwa tujifunze sio kushadadia maumbea ya insta tu [emoji16][emoji16]Akaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverify
1. Wanakata kiasi fulani cha hela kwe kadi yako zen watairudisha wakisha verify.(ni uhakika wanarudisha)
2. Unatakiwa uwatumie scanned document yoyote kama bill ya maji, umeme, benk statement n.k
Hapo
Hapo wallet yako itakuwa active. Na utaitumia kwe mishe yako yooooote kwa uhuru kabisa... Wapo vizuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa SHITHOLE kantrey huwa inaweza kulipa tu sio kupokea hela
Ni kweliNchi yetu itachelewa sana kuendelea
Sio wachumi kiongozi, sema wanasiasa! Ujue mambo mengi sana ya msingi yanafanyiwa maamuzi kwa maslahi ya kisiasa na sio kwa ajili ya future ya watu woteNa jamaa walivyokuwa wapuuzi vitu essential kama hivi vinavyogusa jamii moja kwa moja hawashughuliki navyo kabisa! Ukiimarisha uchumi wa watu wa chini nchi inaweza ku progress haraka sana kuliko kushughulika na miundo mbinu 80% kwenye kila budget! Sijui wachumi wetu wanawaza nini!
1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.Ushauri wangu: ukishakuwa na kadi ya benki (mf. Equity bank au banc abc) fungua pia wallet(mf. Skrill) zen wallet yako ilonk na kadi yako ya bank. Kwa hiyo ka unataka kudeposit utahamisha hela kutoka benk kwenda wallet yako(skrill) zen to ur betting campany.
Kwa sababu wakat mwingine mabenk system zake zinagoma kutuma hela kwe makampuni ambayo yanafanya gambling/kubashiri.
Itabidi nifungue tu hiyo akaunti kama mdau mmoja alivyoshauri haina jinsiHahah ila sasa si lazima ufungue Skrill Account au wao wanapokea malipo direct toka kampuni za betting
Kweli aisee, wabongo tupo nyuma sana kwenye haya mavituMi mwenyewe nilikuwa sijui kuhusu hizi online payment platforms nyingi kama SKrill, Paypal ila nadhani nitaanza kuzifahamu kisa 1xbet
Mdau,1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.
1. Aisee watu waliotangulia kuelewa hizi huduma wanatoa taarifa nusu nusu. Kuna mdau alitoa information kuwa equity nao wapo poa. Hivyo nilifungua account yao na nikawaambia waruhusu online transaction wakasema kadi yao ipo poa ndani ya dakika kadhaa. Sasa kila nikijaribu kudepost nafuata taratibu zote, mwisho wa siku pesa haiendi ujumbe nanaotumiwa ni kuwa wrong card number. Sasa nimefunguka kuwa kwenye haya makampuni ya kubashiri benki inaogopa kutuma fedha jambo ambalo watu hawakufafanua. Inabidi sasa niitafute hiyo care of nijiunge na skrill halafu nirudi tena equituy niwaambie wa link. Tofauti na hapo naondoa fedha zangu na kuvunja vunja kadi hii.