Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Cha kushangaza email sijatumiwa.
 
Last edited by a moderator:
xyz123
Under ina maanisha magoli chini ya mfano under 4.5 inamaanisha magoli jumla yasizidi matano.
Over inamaanisha magoli zaidi ya mfano over 4.5 inamaanisha magoli yawe kuanzia 5 na kuendelea chini ya hapo kilio chako.
Email angalia tena mimi walinitumia au ukute ulikosea email maana kwenye email ndo wanakupa account number
 
Last edited by a moderator:

Thanks, nimeshafanikisha na pesa nimeshakwenda kudeposit. Na mikeka tayari nimeshaitandaza, huku mingine nikicheza live.

Ila aisee Live nzuri sana, maana within dk 10 unajua mbivu na mbichi, halafu nilichonote kingine ni kuwa jamaa hawakawizi kabisa kusettle na kujaza akaunti yako kama umeshinda.
 
Last edited by a moderator:
Bet365 sina visa card ya tz hivyo ngoja niendelee tumia hii hii meridian hadi hapo nitapopewa visa ya tz
 
mi nko ladbrokes, kila nkiraise akaunt badae inarud chin,,majangaa!
 
Ukisha fungua account utanistua nikupe number ya dada yupo pale new afrika cassino utanunua bet card zipo za dola kumi, ishirini na kuendelea then utadeposite then utaanza kubet

Mkuu hv hawa ladbrokes ushawah kuwapga ela,mana mi niko kule af washakula ka dola 50 zangu, kila nkiraise mpunga badae nauchezea unaisha,,em nipe techniqs kdgo kaka
 
Rockcity native hao ni UK bet365.com
Leo kuna timu imekula hela zangu zote nimeamini mpira dakika 90 + ET
 
Last edited by a moderator:
Bet365 sina visa card ya tz hivyo ngoja niendelee tumia hii hii meridian hadi hapo nitapopewa visa ya tz
nenda abc bank, wapo kariakoo baada ya baharesa faya, wanakupa visacard in 5 minutes, just go na kitambulisho chako tu.

mfano multbet ya 3/4 manake una combination 4, na kama timu ni A,B,C,D inatakiwa iwe
A,B,C
A,C,D
B,C,D
A,B,D

hiyo ndio inaitwa treble fold 3x4 , kawaida ni fourth fold 4x1
ambapo vilevile kama kwa kawaida ungeweka tsh 1000/=, inabidi uweke tsh 4000/= ukiweka 3/4, yani buku kwa kila combination

Kwa maana if timu zote zinashinda pesa yako unapata kwa multply kwa combinations zote, na hata timu moja ikipoteza unapata pesa kwa combination mojawapo, lakini meridian wanafanya uhuni tu
 
zenit na real wana odds ndogo

jinsi ya kuongeza odds ,

bet 1&H2+ , yani wa nyumbani ahsinde na apate mgaoli mawili zaidi, hii ni uhakika zaidi manake timu kubwa kupata magoli mawili hasa ikiwa nyumbani ni rahis, odd ya zenit ilikuwa 1.1 iliongezeka kuwa 1.21

au 1&3+ , yani wa nyumbani ashinde na magoli zaidi yapatikane kwenye match hiyo, hii sio uhakika sana magaoli matatu kupatikana si rahis sana, odd ya zenit iliongezeka kutoka 1.1 hadi 1.37
 
wakuu kwenye kubet kuna pesa za bure yani za kuchota, uache tamaa tu ya kuweka timu nyingi, kuwa na maximu odss zako tu unanozitafuta, ukizipata odds zako hata kwa timu 3, weka mkeka!

odds 3 hadi 5 ukiweka pesa ya kutosha zinatosha saana, bora urisk 10,000/ lakini una uhakika kupata mara 3 au 5 , kuliko kurisk tsh 1000/= na kutoka holla zaidi ya mara 20! hii ni biashara ya bure hata kwa siku ukipata 30,000/= haina hasara, ila itakuwa hasara kama uta bet zaid ya mara 20 halafu zote holla!
 

Nilijaribu bado nikapigwa tuu...
 
Nilijaribu bado nikapigwa tuu...

mkuu jaribu double chans ya 1X au X2 ,

compare two team well before betting,
angalia yupo nyumbani au ugenini, yupo juu au chini,
wameachana nafasi ngapi,
angalia match 3 za mwisho za kila mmoja wapo win, draw na lose zao.

lakini bet ni ugonjwa unaweza ukapigwa tu, na usiache kucheza, teh teh
Lakini inaleta raha pale ulizomla mhindi ni nyingi kuliko zile alizokutafuna wewe....!!!
only and only bet with the spare money....!!!
 

Nimepigwa hiyo hiyo double chance kaka mechi mbili tuuu
 
Mimi nipo online hapa nacheza zikiwa karibu na mwisho au kama timu imeongoza goals nyingi
Hawa meridian kiukweli naona multibet zao za selection ni wizi mtupu maana nashangaa nilichagua timu 8 afu nikaweka 5/8 sasa timu mbili zikapoteza ikawa imekula kwangu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…