FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 840
Gud mkuu
Ankai nimekutumia ujumbe PMTatizo unalala sana mwamba iyo ni usiku na asubuhi saa kumi na nusu ila tuko pamoja wacha niandae nyingine nitatuma muda si mrefu bob na uwe active
HT zipo ngap na kila baada ya muda ganregula time ni mda wa kawaida wa game kuisha yaa after 4q mara nying ni dk 40 ila kwa china...philipines na NBA ni 48mnts
over time ni mda wa nyongeza baada ya team kutoshana nguvu kwenye regular time...basket haina draw hivo over time hutokea kwenye draw ya dk za regular time
3POINTS ni points za nje ya D kwenye kikapu ingekua football tungesema magoli ya nje ya boksi
uliza lingine lolote
Yani meridian hawadisplay each quarter ina vikapu vingapi wao wanaweka total so huwezi jua quarter ipi nani kaongoza inakua ngumu kuweka betUmeona away alivokuwa anakimbiza karibia 1ht q ya mwisho amebaki kasimama tu
Mi niliweka opposite so kajiwe kaliingia boss kaziTushukuru hii imekua refunded mazeee View attachment 949911
Ada ni pale unapofanya transactions.Wakuu hivi ukiiwezesha acc yako iweze kulipia huduma za mitandaoni kuna kuwa na ada ama ni free?
Makato yakoje mkuu ni makali au yakawaida najua ningumu kupata general answer haswa ukizingatia kiasi kina varies kulingana na uhitajiAda ni pale unapofanya transactions.
ndani ya D ni 2 points...one point ipo pale tu zinapotokea free throws yaan ki football penat hua free throws zinaanzia 1 mpaka 3 hutegemea aina ya faulo na eneoAsante sana mkuu.
Kumbe mtu ukifungua ndani ya D inahesabika Point 1?!
[emoji106][emoji106][emoji106]ndani ya D ni 2 points...one point ipo pale tu zinapotokea free throws yaan ki football penat hua free throws zinaanzia 1 mpaka 3 hutegemea aina ya faulo na eneo
Ukali wa makato inategemeana na bank, wengine wanatoza kwa percent kutegemeana na kiasi na wengine wana fixed amount. Kwamfano UBA kila unapofanya malipo wanakata sh.6,000/= kwa kila muamala haijalishi kiwango unachodeposit.Makato yakoje mkuu ni makali au yakawaida najua ningumu kupata general answer haswa ukizingatia kiasi kina varies kulingana na uhitaji
Mzee wa GGDaaah, hadi Leo kadi inazingua kuweka hela 1xbet. Nipo bank hapa imenibidi niwaombe wanisaidie. Daaah kweli Bologna young master nimepatikana safari hii.
HT ni kifup cha half time hivo zipo mbili...firs half ina 1Q na 2Q ambazo ni dk 20 jumla au 24 kwa NBA PHILIPINES NA CHINA...second half ni 3Q na 4Q ambapo nazo huchukua dk 20 mpaka 24 kwa baadh ya ligi hasa tajwa hapo juu....over time huesabiwa kama second halfHT zipo ngap na kila baada ya muda gan
Vipi kuhusu crdb? Mimi leo nmeenda kusajili card yangu nasubiria msg ya verification nianze kukufollow maujanja yenu na akina ankai na wengine humuUkali wa makato inategemeana na bank, wengine wanatoza kwa percent kutegemeana na kiasi na wengine wana fixed amount. Kwamfano UBA kila unapofanya malipo wanakata sh.6,000/= kwa kila muamala haijalishi kiwango unachodeposit.